Cham Bee
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 3,516
- 1,854
Tatizo siku hizi wasanii wamekuwa wengi sana kila nyumba ukienda hukosi msanii.
Hadi viongozi wasanii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo siku hizi wasanii wamekuwa wengi sana kila nyumba ukienda hukosi msanii.
Yap n kawaida sana liknMbona kawaida tyu
Ukikua utaelewa maana ya maishaLeo nikiwa napita mitaa ya Sinza kumekucha jirani na geti la Law aSchool of Tanzania nimekutana USO kwa USO na msanii Jocelyn akiwa anauza chips.Jocelyn alitamba sana miaka ya 2005 na 2006 na nyimbo zake Perfume na Niite Basi.
Pia aliwahi kushirikishwa kwenye wimbo wa Msanii Duly Sykes uitwao Dhahabu ambamo ndani yake alishirikishwa pia Mr.Blue..Big up sana kwa msanii Jocelyn kwa kuingia kwenye ujasiriamali.
Binafsi nimefurahishwa sana na hustling spirit yako...Pia hongera kwa kupata goli hapo LST kwa sababu ni sehemu ambayo kuna idadi kubwa sana ya wateja
Q jay kipindi cha Nyuma Nlikuwa Namuona mitaa ya msasani....ni fundi mzuri Wa uwashi....Ana design mageti,madirisha etcJamaa nimemmiss sn na kundi lake wa Wakali kwanza.....Q Jay yuko wapi?
Q Jay tuko naye Bukoba huku, nimekutana naye mara kadhaa, siku moja alikuja eneo letu la biashara usiku na washkaji zake nikamstua wewe si QJay, alistuka sana hakutegemea kama bado anafahamika na alifurahi, nilimtania tu kwamba mara ya mwisho nilisikia umehamia kwenye Gospo (hakunijibu alicheka tu), akanialika kwenye show yake hotel moja hapa mjini (free), sema mi sio mtu wa hizo mambo sikwenda. Inasemekana alikuwa anaishi Mwanza ila kwa sasa anaishi Bukoba, sema inasemekana kwa kipindi kirefu amekuwa hayuko sawa 'stress za muziki', yaani inasikitisha anavyojichanganya na undergrounds wa huku wakati alipaswa kuwa mbali, hii ni moja ya video akiwa na wasanii wa bkQ jay kipindi cha Nyuma Nlikuwa Namuona mitaa ya msasani....ni fundi mzuri Wa uwashi....Ana design mageti,madirisha etc
Ova
Unafaa kuwa Marketing Manager,kwa jinsi ulivoanza kuandika wengi walijua utakua umemponda Jos kumbe unanpamba kwa ujasiri wake.. Naamin Lin yupo humu,basi kma itampendeza akulipe kwa hii promo! mkuuLeo nikiwa napita mitaa ya Sinza kumekucha jirani na geti la Law aSchool of Tanzania nimekutana USO kwa USO na msanii Jocelyn akiwa anauza chips.Jocelyn alitamba sana miaka ya 2005 na 2006 na nyimbo zake Perfume na Niite Basi.
Pia aliwahi kushirikishwa kwenye wimbo wa Msanii Duly Sykes uitwao Dhahabu ambamo ndani yake alishirikishwa pia Mr.Blue..Big up sana kwa msanii Jocelyn kwa kuingia kwenye ujasiriamali.
Binafsi nimefurahishwa sana na hustling spirit yako...Pia hongera kwa kupata goli hapo LST kwa sababu ni sehemu ambayo kuna idadi kubwa sana ya wateja
Bora kuuza chipsi maana anajitafutia kuliko kuwa teja wa madaawa ya kulevyaLeo nikiwa napita mitaa ya Sinza kumekucha jirani na geti la Law aSchool of Tanzania nimekutana USO kwa USO na msanii Jocelyn akiwa anauza chips.Jocelyn alitamba sana miaka ya 2005 na 2006 na nyimbo zake Perfume na Niite Basi.
Pia aliwahi kushirikishwa kwenye wimbo wa Msanii Duly Sykes uitwao Dhahabu ambamo ndani yake alishirikishwa pia Mr.Blue..Big up sana kwa msanii Jocelyn kwa kuingia kwenye ujasiriamali.
Binafsi nimefurahishwa sana na hustling spirit yako...Pia hongera kwa kupata goli hapo LST kwa sababu ni sehemu ambayo kuna idadi kubwa sana ya wateja
hahahahahahhahaKweli maisha bila unafiki hayaendi umeileta kama unamuexpose flani hivi.
amejuwa tutamtolea makavu liveKweli maisha bila unafiki hayaendi umeileta kama unamuexpose flani hivi.
Kuna bora qjay,makamua,joselinJamaa nimemmiss sn na kundi lake wa Wakali kwanza.....Q Jay yuko wapi?
Mimi mwenyewe msanii, nina umri mkubwa kiasi ila bado sijatoka ila sijakata tamaa cuz am doing music for passion only, hope nikitoka nitahit zaidi ya mond bin laden.Tatizo siku hizi wasanii wamekuwa wengi sana kila nyumba ukienda hukosi msanii.