hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
KweliMimi mwenyewe msanii, nina umri mkubwa kiasi ila bado sijatoka ila sijakata tamaa cuz am doing music for passion only, hope nikitoka nitahit zaidi ya mond bin laden.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KweliMimi mwenyewe msanii, nina umri mkubwa kiasi ila bado sijatoka ila sijakata tamaa cuz am doing music for passion only, hope nikitoka nitahit zaidi ya mond bin laden.
habari mbaya ndio zinavuma,amefanya vizuri ukiona ishu ailipi achana nayo tafuta nyingine.Kweli maisha bila unafiki hayaendi umeileta kama unamuexpose flani hivi.
Weka picha ya ushahidi basiLeo nikiwa napita mitaa ya Sinza kumekucha jirani na geti la Law School of Tanzania nimekutana USO kwa USO na msanii Jocelyn akiwa anauza chips.Jocelyn alitamba sana miaka ya 2005 na 2006 na nyimbo zake Perfume na Niite Basi.
Pia aliwahi kushirikishwa kwenye wimbo wa Msanii Duly Sykes uitwao Dhahabu ambamo ndani yake alishirikishwa pia Mr.Blue..Big up sana kwa msanii Jocelyn kwa kuingia kwenye ujasiriamali.
Binafsi nimefurahishwa sana na hustling spirit yako...Pia hongera kwa kupata goli hapo LST kwa sababu ni sehemu ambayo kuna idadi kubwa sana ya wateja.
Eti kila nyumba wapo wasanii... [emoji1] [emoji23]Tatizo siku hizi wasanii wamekuwa wengi sana kila nyumba ukienda hukosi msanii.
Nani huyoSi Bora Huyu Anaeuza Chips Kuliko Yule Anaeuza Poda
Bodaboda ina hela, sema maaskari ndiyo hawawapendi hawa bodabodaSafi sana, gonga kazi hata kama ni kuuza mkaa, mwenyewe kuna kinglion nimeipaki tu, nikifulia naanza kuendesha bodaboda.
Mkuu huyu huwezi shangaa ata akibeba nzege huyu ni kama nature ata nyimbo zao tu zinasadiki ni zakuhamasisha kufanya kaziHâta inspecta haroun anauza chips mbagala ni hatari