Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Aahh wewe weee kuna ile story hujaimaliziaga ujue. Umerudi sasa fanya basi kumalizia ile stori ya yule ndege.Wakristo munajambo lenu kwenye ushoga, haki ya mama.
Juzi tu huko marekani kuna muinjilisti gani sijui kapewa uchungaji ilhali ni shoga, leo tena muimba kwaya! aagh acheni hizo bhana.
Au alizaliwa bisexualsNimesikitika.
Ukute alikuwa na jinsia mbili moja ndo ameamua kujidhihirisha ukubwaniDunia simama nishuke…
Mh!sina uhakika huenda kapenda tu, kama mtoto wa Dwayne Wade alieamua kuwa bintiAu alizaliwa bisexuals
Kitoabu, tunangoja kwa hamu sana utupe stori za vimbwanga vya huko migodini. Hakika tulienjoy sana na stori za habari ya yale masaibu mliyokutana nayo huko migodiniWakristo munajambo lenu kwenye ushoga, haki ya mama.
Juzi tu huko marekani kuna muinjilisti gani sijui kapewa uchungaji ilhali ni shoga, leo tena muimba kwaya! aagh acheni hizo bhana.
Mambo ni mengi mnoooUkute alikuwa na jinsia mbili moja ndo ameamua kujidhihirisha ukubwani
Lucifer 1 wazee wa upako 0........Akiwa mdogoView attachment 2514105
Hii coment na aiyone MK254
Hilo sio swala la kuuliza wahindi tuu wanamiungu zaidi ya 2mSema nimegundua hapa duniani huenda kuna miungu zaidi ya mmoja
Basu wewe inaonekana haujawahi kusoma msahafu wa dini yoyote ile. Sababu ndani ya misahafu kila mmija una mungu wake na mingine inakatazwa kuabudu miungu wengineSema nimegundua hapa duniani huenda kuna miungu zaidi ya mmoja
Duh..