multiple
JF-Expert Member
- Feb 14, 2016
- 650
- 1,316
Ni mpepe tu unasukuma hizo vichwaNoma sana ila nilichogundua ni umasikini mtu anaamuaajitoe akili tu🤣🤣🤣🤣
Ni mpepe tu unasukuma hizo vichwaNoma sana ila nilichogundua ni umasikini mtu anaamuaajitoe akili tu🤣🤣🤣🤣
Mpepe usisingiziwe ni wenyewe tu na akili zao wanajiresi.Ni mpepe tu unasukuma hizo vichwa
Nikichek dirishani kwa huku amekuja njiwaNaona taa za kijani magari yameruhusiwa 🤣🤣
Singeli wimbo wataifa huoNdioo nimeingia hapa YouTube ni singeli..
Anataja chamazi , mbagala
Nikichek dirishani kwa huku amekuja njiwa
ye Ana barua kinywani sina budi kuichukua
Kuifungua ni Habari ya kusisimua 🫢