Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Msanii uyo kutoka Nigeria alipost picha akiwa KIA akisema Guess which country, Cha kushangaza comment zilijaa No reform no election.
Hali hii imemtia hofu msanii huyo Hadi kuamua kurekodi video akiomba watanzania kuwa yeye sio mwanasiasa ni msanii, ameenda mbali kuuliza No reform no election inamaanisha Nini.
Tutakuwepo
==
Msanii Chella Boy kutoka Nigeria ambaye yupo Tanzania kwa ajili ya Show yake siku ya Jumapili ya tarehe 8 mwezi huu jijini Mwanza amewalalamikia Watanzania kufuatia Comments zao za No reform no Election kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Chellaboi amesema kuwa yeye sio Mwanasiasa hivyo hawapaswi kuandika Comments za namna hiyo kwani hajui zina maanisha nini.