Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Tume huru unazijua wewe mtu wa Dar au Arusha, mwananchi wa kawaida kule Liwale hana muda wa hizo habari za tume huru kwake yeye cha muhimu korosha zipate soko, watoto waende shule, akiugua asipate taabu ya kutembea mwendo mrefu, hivyo ni vitu muhimu kwenye maisha ya kila siku ya mtu wa kawaida.😀 😀 😀 Ukitumia akili yako vizuri utajiona wewe ndo zuzu, huo ushindi wa alimia 98 waambie waweke tume huru ya uchaguzi uone mzee, ukiachana na huo uchawa unadhani watu wanahitaji mabadiliko ya kitu gani?? waruhusu tume huru waone kazi. mpaka sasa wameshindwa kujibu hoja zote wanaishia kuwabambika watu kesi za kubumba 😉🙁
Mbwembwe za tume huru tunazijua sisi tunaoishi karibu na magazeti, vitabu na mitandao ya simu.