comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Ñaona wale Wanaokula laki2 Kwa mwezi wamemwaga kwenye huu Uzi wamegombezwa huko na maboss zao kwanin wanalipwa mishahara halafu wanashindwa vita ya mtandaoni
Sijajua, Dr Slaa alituambia kuwa kule chadema Kuna kikundi cha kuteka watu Sasa hajatuambia tena kama kimefutika au Bado kipo.Vipi kuhusu watekaji, nao bado wataendelea kuwepo?
No reforms, No electionsSijajua, Dr Slaa alituambia kuwa kule chadema Kuna kikundi cha kuteka watu Sasa hajatuambia tena kama kimefutika au Bado kipo.
Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania (2025-2030)No reforms, No elections
No reforms, No electionsSamia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania (2025-2030)
Long live Mama.
HehehKatia huruma masikini
Aisee ni ya moto sana hiiKampeni imekuwa global sasa, huu upuuzi unaoendelea umefanya iende viral. It is a developing story, new series unfolding everyday
Wananchi hawataacha wala kunyamaza Juu ya NO REFORM NO ELECTIONMsanii uyo kutoka Nigeria alipost picha akiwa KIA akisema Guess which country, Cha kushangaza comment zilijaa No reform no election.
Hali hii imemtia hofu msanii huyo Hadi kuamua kurekodi video akiomba watanzania kuwa yeye sio mwanasiasa ni msanii, ameenda mbali kuuliza No reform no election inamaanisha Nini.
Tutakuwepo
==
Msanii Chella Boy kutoka Nigeria ambaye yupo Tanzania kwa ajili ya Show yake siku ya Jumapili ya tarehe 8 mwezi huu jijini Mwanza amewalalamikia Watanzania kufuatia Comments zao za No reform no Election kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Chellaboi amesema kuwa yeye sio Mwanasiasa hivyo hawapaswi kuandika Comments za namna hiyo kwani hajui zina maanisha nini.
View attachment 3358869
View attachment 3358870
Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania (2025-2030)No reforms, No elections
Bahati ni nzuri Huezi kuongea ujinga Wako Kwa Lugha ambayo ataielewaHahahahahaa!!!
Mwambie hata asiwe na hofu hata kidogo, hizo comments ni za mazuzu flani machache tu yasiyozidi 2000 ambayo yamepangwa kimkakati wa kiboya kujaribu kumharibia Samia. Mwambie miboya hiyo imeshashindwa tayari na hicho wanachofanya ni kama teke tu la punda anayekufa.
Pia mwambie, miboya hiyo ipo kwa muda mfupi tu, kufikia mwezi novemba, baada ya ushindi wa mama Samia wa 98%, haitokuwepo tena kutokana na njaa kwani mabwana zao wa ulaya wanaowafadhili watajitoa kwanza.
No reforms, No electionsSamia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania (2025-2030)
Long live Mama.
Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania (2025-2030)No reforms, No elections
Nyie machawa na mabwana zenu ndio msiofika hata 2000 kote nchini!Hahahahahaa!!!
Mwambie hata asiwe na hofu hata kidogo, hizo comments ni za mazuzu flani machache tu yasiyozidi 2000 ambayo yamepangwa kimkakati wa kiboya kujaribu kumharibia Samia. Mwambie miboya hiyo imeshashindwa tayari na hicho wanachofanya ni kama teke tu la punda anayekufa.
Pia mwambie, miboya hiyo ipo kwa muda mfupi tu, kufikia mwezi novemba, baada ya ushindi wa mama Samia wa 98%, haitokuwepo tena kutokana na njaa kwani mabwana zao wa ulaya wanaowafadhili watajitoa kwanza.
Unajua unachokizungumza ndio hiyo No Reforms yenyewe, kwamba mtu mwingine anafanya kampeni miaka 5 halafu mwingine anapewa siku 60 tu kufanya kampeni. Wewe mwenyewe unakiri kuwa ni ngumu kwa huyu wa siku 60 kushinda huo uchaguzi. Unachosema ni kuwa, lazima sheria zibadikishwe, watu waruhusiwe kufanya mikutano na kampeni kwa miaka yote ili kuweka usawa kati ya wapinzani na watawala.Hizi harakati zinapokuja mwaka wa uchaguzi wa 2025 haziwezi kuwa na jipya kwa mpiga kura ambaye kwa pamoja na mbunge wake wametatua kero za kila siku za mwananchi wa jimbo husika.
Nasemaje, mtafirimbwa na wabelgiji mpaka Dunia iishe lakini kamwe hamtoshika madaraka nchi hii........Tanzania hii haiwezi kuuzwa kizembe hivyo pimbi wewe.Nyie machawa na mabwana zenu ndio msiofika hata 2000 kote nchini!
Mabwana zenu ni wale viongozi wote (waziri's, mp's, rc's, dc's nk nk) wanaofaidika na mapungufu ya utawala wa kilaza kutoka kizimkazi!