Msanii kutoka Nigeria, aingiwa na hofu baada ya comment section kujaa na 'No reforms No election’

Msanii kutoka Nigeria, aingiwa na hofu baada ya comment section kujaa na 'No reforms No election’

Unajua unachokizungumza ndio hiyo No Reforms yenyewe, kwamba mtu mwingine anafanya kampeni miaka 5 halafu mwingine anapewa siku 60 tu kufanya kampeni. Wewe mwenyewe unakiri kuwa ni ngumu kwa huyu wa siku 60 kushinda huo uchaguzi. Unachosema ni kuwa, lazima sheria zibadikishwe, watu waruhusiwe kufanya mikutano na kampeni kwa miaka yote ili kuweka usawa kati ya wapinzani na watawala.
Uhuru wa kampeni upo kwa miaka yote mitano, tatizo la ndani lisiloongelewa ni ukweli kwamba CCM inapambana na maadui wa kutokea nje wenye vibaraka wao humu ndani.
 
Mkuu najua unajua ila unajifanya hujui.

Nchi hii ukiweka uhuru kidogo tu itakushangaza kwamba kila mtu anataka No reform no election hadi kule Liwale kwa Wamang'ati wafugaji
Sio kweli mkuu. Samia anapita njia zile zile za JPM, kupunguza siasa kuwa nyingi mitandaoni wakati serikali yake ikifanya kazi nzito ya kumalizia miradi mikubwa.
 
hahahahaaa utajitekenya ssnaa chawa mkubwa, unahofia ajira yako ya uchawa inaenda kuisha? tafuta kazi mbwa wewe uso na haya, sura imekuparama kwa uchawa, nyooo

nishakufahamu japo umetumia id fake [emoji23]thats why naishia kukudharau tu maana hunaga akili as always
Wenye akili ni nyinyi mnaoandika maneno ya Lissu bila ya kujua malengo ya wanaomtuma.
 
Hii nchi ina vijana wa ovyo sana
Elimu kuna mahali ilikosewa, vijana wengi haswa wa mijini wanakua huku wakiwa na akili zenye maarifa machache.

Kila kitu wanachohisi kinawapa umaskini wanaanza kukishambulia wakiaminishwa ndio chanzo cha matatizo yao.
 
Watu kama nyie vilaza ndiyo mtaji wa fisiem,korosho tu ingesaidia kuondoa umasikini kwenye mikoa ya kusini kama mngekuwa na akili.
Mtoto aende shule kwa elimu ipi bora inayotolewa kwenye nchi hii kama sio ujinga mtupu mnaofanya.Hamna uwezo wa kuongoza hii nchi mnalazimisha tu,wapeni wasomi nchi waongoze wapo kibao kwa sasa.
Hata wakipewa wasomi nchi bado mtakuja kulialia humu JF, hakuna utajiri unaogawiwa bure bure tu mtaani.

Kama serikali haijakufikia wewe, wapo vijana wadogo kuliko wewe hivi sasa wanafaidika na fursa zilizopo ambazo zinatokana na serikali ya sasa.
 
Tume huru unazijua wewe mtu wa Dar au Arusha, mwananchi wa kawaida kule Liwale hana muda wa hizo habari za tume huru kwake yeye cha muhimu korosha zipate soko, watoto waende shule, akiugua asipate taabu ya kutembea mwendo mrefu, hivyo ni vitu muhimu kwenye maisha ya kila siku ya mtu wa kawaida.

Mbwembwe za tume huru tunazijua sisi tunaoishi karibu na magazeti, vitabu na mitandao ya simu.
Na wanaujua ugumu wa kuuza korosho hizo hizo kwa hiyo no reform no election itawasaidia kwa namna nyingine!!!
 
Kwa hali ilivyo sasa hata wageni wa kitaifa watapokewa na ujumbe huu. Usishangae kumuona mgeni wa mama ikulu akipelekewa message hii
 
No reform.................................................no election
 
Hahahahahaa!!!
Mwambie hata asiwe na hofu hata kidogo, hizo comments ni za mazuzu flani machache tu yasiyozidi 2000 ambayo yamepangwa kimkakati wa kiboya kujaribu kumharibia Samia. Mwambie miboya hiyo imeshashindwa tayari na hicho wanachofanya ni kama teke tu la punda anayekufa.

Pia mwambie, miboya hiyo ipo kwa muda mfupi tu, kufikia mwezi novemba, baada ya ushindi wa mama Samia wa 98%, haitokuwepo tena kutokana na njaa kwani mabwana zao wa ulaya wanaowafadhili watajitoa kwanza.
downloadfile-10.jpg
 
Back
Top Bottom