CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
Ni ujinga kura hazipigwi Nigeria ni TanzaniaSafiiii mwendo uwe huo huo
mimi niko Newala na nasema NO REFORM NO ELECTIONHakuna kipya kinachoweza kutokana na hiyo kauli mbiu, itaanza na kuishia mitandaoni tu tena kwa wakazi wa Dar, Arusha, Mwanza na Mbeya kwingineko ni ujinga tu kama ujinga mwingine unaovuma na kupotea kama upepo wa baharini.
Kina mama wanaotumia nishati ya umeme inayopelekwa na REA kila mahali hawawezi kuguswa na hayo maneno.
Wafanya biashara waliorahisishiwa kusafirisha nje na kuingiza nchini mizigo yao hawawezi kuona umuhimu wa maandishi hayo, watahisi ni utoto tu wa mitandaoni.
Wapo wengi wanaoguswa maisha yao na miradi mingi ya serikali hao ndio wanaopiga kura, tofauti na hawa vijana wa instagram wanaoishia kwenye harakati.
Hata Ben Ali hakutegemea kama yale maandamano machache yangeweza kimtoa IkuluVijana huko insta na facebook wanapewa pesa kuandika huo upuuzi wakidhani unaweza kuja na lolote jipya.
Hizo ni harshtags tu, haziwezi kwa namna yoyote ile kuiondoa CCM pale ikulu.
Suala dogo sana hilo ewe nyumbu wa chadema chakavu, subiri wakubwa waongee na utaniambia. Nyie watoto wadogo msioelewa chochote endeleeni kurukaruka humu bila mpangilio eti kumfurahisha lissu.Sasa zuio la ndege zetu kutua nchi zilizoko kwenye EU utalitatuaje,ndugu yangu?
No Reforms No ElectionHahahahahaa!!!
Mwambie hata asiwe na hofu hata kidogo, hizo comments ni za mazuzu flani machache tu yasiyozidi 2000 ambayo yamepangwa kimkakati wa kiboya kujaribu kumharibia Samia. Mwambie miboya hiyo imeshashindwa tayari na hicho wanachofanya ni kama teke tu la punda anayekufa.
Pia mwambie, miboya hiyo ipo kwa muda mfupi tu, kufikia mwezi novemba, baada ya ushindi wa mama Samia wa 98%, haitokuwepo tena kutokana na njaa kwani mabwana zao wa ulaya wanaowafadhili watajitoa kwanza.
Mi siyo mfuasi wa yeyote,mi ni mwanchi tu na hizo ndege zinatakiwa zitue Ulaya pia,ili mapato yaongezekeSuala dogo sana hilo ewe nyumbu wa chadema chakavu, subiri wakubwa waongee na utaniambia. Nyie watoto wadogo msioelewa chochote endeleeni kurukaruka humu bila mpangilio eti kumfurahisha lissu.
Kampemi ya Mange imeanza kushika kasiMsanii uyo kutoka Nigeria alipost picha akiwa KIA akisema Guess which country, Cha kushangaza comment zilijaa No reform no election.
Hali hii imemtia hofu msanii huyo Hadi kuamua kurekodi video akiomba watanzania kuwa yeye sio mwanasiasa ni msanii, ameenda mbali kuuliza No reform no election inamaanisha Nini.
Tutakuwepo
View attachment 3358869
View attachment 3358870
Wewe ukiwa miongoni mwao hao mazuzu.Hahahahahaa!!!
Mwambie hata asiwe na hofu hata kidogo, hizo comments ni za mazuzu flani machache tu yasiyozidi 2000 ambayo yamepangwa kimkakati wa kiboya kujaribu kumharibia Samia. Mwambie miboya hiyo imeshashindwa tayari na hicho wanachofanya ni kama teke tu la punda anayekufa.
Pia mwambie, miboya hiyo ipo kwa muda mfupi tu, kufikia mwezi novemba, baada ya ushindi wa mama Samia wa 98%, haitokuwepo tena kutokana na njaa kwani mabwana zao wa ulaya wanaowafadhili watajitoa kwanza.
Yaani Dkt Samia anachukiwa kwa matendo yake ya kukaa kimya panapokuwa nayo matatizo, yaani yeye anakolezea ikitokea.Kumchukia Samia ina saidia nini? Tatizo la hii nchi ni CCM sio Samia, Samia ni just part of the problem.
Kakutana na za usoMsanii uyo kutoka Nigeria alipost picha akiwa KIA akisema Guess which country, Cha kushangaza comment zilijaa No reform no election.
Hali hii imemtia hofu msanii huyo Hadi kuamua kurekodi video akiomba watanzania kuwa yeye sio mwanasiasa ni msanii, ameenda mbali kuuliza No reform no election inamaanisha Nini.
Tutakuwepo
View attachment 3358869
View attachment 3358870
Aende ubaloziniWizara ya mambo ya nje itamsaidia kueleweshwa.
Nilichogundua wala ccm haina shida.Kumchukia Samia ina saidia nini? Tatizo la hii nchi ni CCM sio Samia, Samia ni just part of the problem.
Mange anawasumbua hamlali hahahhahHahahahahaa!!!
Mwambie hata asiwe na hofu hata kidogo, hizo comments ni za mazuzu flani machache tu yasiyozidi 2000 ambayo yamepangwa kimkakati wa kiboya kujaribu kumharibia Samia. Mwambie miboya hiyo imeshashindwa tayari na hicho wanachofanya ni kama teke tu la punda anayekufa.
Pia mwambie, miboya hiyo ipo kwa muda mfupi tu, kufikia mwezi novemba, baada ya ushindi wa mama Samia wa 98%, haitokuwepo tena kutokana na njaa kwani mabwana zao wa ulaya wanaowafadhili watajitoa kwanza.
Anataka attention tu, huyu atafanya kampeni uvuke mataifa mengi huko West Afrika.Kwa kingereza hafahamu au alijua ni kichina
Mkuu usiwapangie watu jinsi ya kutumia bando zao.Vijana wanaongozwa na mihemko ya muda mfupi, chama tawala kipo tangu 1977 huwezi kukiondoa kwa hisia ambazo chanzo chake ni ubinafsi wa kundi dogo la watu.
Vipi kuhusu watekaji, nao bado wataendelea kuwepo?Hahahahahaa!!!
Mwambie hata asiwe na hofu hata kidogo, hizo comments ni za mazuzu flani machache tu yasiyozidi 2000 ambayo yamepangwa kimkakati wa kiboya kujaribu kumharibia Samia. Mwambie miboya hiyo imeshashindwa tayari na hicho wanachofanya ni kama teke tu la punda anayekufa.
Pia mwambie, miboya hiyo ipo kwa muda mfupi tu, kufikia mwezi novemba, baada ya ushindi wa mama Samia wa 98%, haitokuwepo tena kutokana na njaa kwani mabwana zao wa ulaya wanaowafadhili watajitoa kwanza.
Mkuu najua unajua ila unajifanya hujui.Tume huru unazijua wewe mtu wa Dar au Arusha, mwananchi wa kawaida kule Liwale hana muda wa hizo habari za tume huru kwake yeye cha muhimu korosha zipate soko, watoto waende shule, akiugua asipate taabu ya kutembea mwendo mrefu, hivyo ni vitu muhimu kwenye maisha ya kila siku ya mtu wa kawaida.
Mbwembwe za tume huru tunazijua sisi tunaoishi karibu na magazeti, vitabu na mitandao ya simu.