Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Hofu ni jambo binafsi. Yeye kaingia hofu kwa kuwa ana utu ndani mwake, ila Kwa wauaji, watekaji, waiba kura, waiba Hela na mali za umma No Reforms No Election kwao ni kauli mbiu ya uasi!Pia mwambie, miboya hiyo ipo kwa muda mfupi tu, kufikia mwezi novemba...
Watamuambia chagua kijani!Wizara ya mambo ya nje itamsaidia kueleweshwa.
Vijana huko insta na facebook wanapewa pesa kuandika huo upuuzi wakidhani unaweza kuja na lolote jipya.Msanii uyo kutoka Nigeria alipost picha akiwa KIA akisema Guess which country, Cha kushangaza comment zilijaa No reform no election.
Hali hii imemtia hofu msanii huyo Hadi kuamua kurekodi video akiomba watanzania kuwa yeye sio mwanasiasa ni msanii, ameenda mbali kuuliza No reform no election inamaanisha Nini.
Tutakuwepo
View attachment 3358869
View attachment 3358870
Sasa zuio la ndege zetu kutua nchi zilizoko kwenye EU utalitatuaje,ndugu yangu?Hahahahahaa!!!
Mwambie hata asiwe na hofu hata kidogo, hizo comments ni za mazuzu flani machache tu yasiyozidi 2000 ambayo yamepangwa kimkakati wa kiboya kujaribu kumharibia Samia. Mwambie miboya hiyo imeshashindwa tayari na hicho wanachofanya ni kama teke tu la punda anayekufa.
Pia mwambie, miboya hiyo ipo kwa muda mfupi tu, kufikia mwezi novemba, baada ya ushindi wa mama Samia wa 98%, haitokuwepo tena kutokana na njaa kwani mabwana zao wa ulaya wanaowafadhili watajitoa kwanza.
Kwanza nani anawalipa hao vijana. Pili kama hiyo mitandaa haina athari mbona watawala wameifungia X (zamani Twitter)?Vijana huko insta na facebook wanapewa pesa kuandika huo upuuzi wakidhani unaweza kuja na lolote jipya.
Hizo ni harshtags tu, haziwezi kwa namna yoyote ile kuiondoa CCM pale ikulu.
Hakuna kipya kinachoweza kutokana na hiyo kauli mbiu, itaanza na kuishia mitandaoni tu tena kwa wakazi wa Dar, Arusha, Mwanza na Mbeya kwingineko ni ujinga tu kama ujinga mwingine unaovuma na kupotea kama upepo wa baharini.Hofu ni jambo binafsi. Yeye kaingia hofu kwa kuwa ana utu ndani mwake, ila Kwa wauaji, watekaji, waiba kura, waiba Hela na mali za umma No Reforms No Election kwao ni kauli mbiu ya uasi!
Kama mambo ni mazuri kiasi hicho panik ya watawala inatokana na nini?Hakuna kipya kinachoweza kutokana na hiyo kauli mbiu, itaanza na kuishia mitandaoni tu tena kwa wakazi wa Dar, Arusha, Mwanza na Mbeya kwingineko ni ujinga tu kama ujinga mwingine unaovuma na kupotea kama upepo wa baharini.
Kina mama wanaotumia nishati ya umeme inayopelekwa na REA kila mahali hawawezi kuguswa na hayo maneno.
Wafanya biashara waliorahisishiwa kusafirisha nje na kuingiza nchini mizigo yao hawawezi kuona umuhimu wa maandishi hayo, watahisi ni utoto tu wa mitandaoni.
Wapo wengi wanaoguswa maisha yao na miradi mingi ya serikali hao ndio wanaopiga kura, tofauti na hawa vijana wa instagram wanaoishia kwenye harakati.
aelezwe wazi tu kwamba hiyo nonsense ni ya mitandaoni tu but field na ground ni useless 🐒Msanii uyo kutoka Nigeria alipost picha akiwa KIA akisema Guess which country, Cha kushangaza comment zilijaa No reform no election.
Hali hii imemtia hofu msanii huyo Hadi kuamua kurekodi video akiomba watanzania kuwa yeye sio mwanasiasa ni msanii, ameenda mbali kuuliza No reform no election inamaanisha Nini.
Tutakuwepo
View attachment 3358869
View attachment 3358870
Hao wanaoandika hivyo huko field hawapo?aelezwe wazi tu kwamba hiyo nonsense ni ya mitandaoni tu but field na ground ni useless 🐒
CCM imesambaa kila mahali, hizi harakati zipo katika maeneo machache sana. Jitahidi msambae kila mahali.Kwanza nani anawalipa hao vijana. Pili kama hiyo mitandaa haina athari mbona watawala wameifungia X (zamani Twitter)?
Wewe unadhani nini kitaotoa CCM madarakani?
Na huko ndio mnapopigwaMsanii uyo kutoka Nigeria alipost picha akiwa KIA akisema Guess which country, Cha kushangaza comment zilijaa No reform no election.
Hali hii imemtia hofu msanii huyo Hadi kuamua kurekodi video akiomba watanzania kuwa yeye sio mwanasiasa ni msanii, ameenda mbali kuuliza No reform no election inamaanisha Nini.
Tutakuwepo
View attachment 3358869
View attachment 3358870
Hakuna panick kwa watawala, wanao wajibu wa kutimiza kila kero inayosikika kutoka kwa wananchi.Kama mambo ni mazuri kiasi hicho panik ya watawala inatokana na nini?
Jamaa wewe unaishi dunia nyingine. Huwezi linganisha ni sisi tuliokuwa kindakindaki kwa Dkt Magufuli, yaani tulikuwa tayari kufa ili kumlinda Dkt Magufuli, ila leo yupo wapi?????? Kelele hizo siyo chache kama unavyodhani na usidhani hao wapiga kelele ni kura kidogo. Kama tunampenda mwenyekiti wetu ni bora tuwe wapole maana yakitokea kama ya mbobezi watu walisma hahaha mbobezi naye kafaaa hahaha watu walishangilia. Tusifike huko bosi. Kuwa na hekimaHahahahahaa!!!