Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Vijana wanaongozwa na mihemko ya muda mfupi, chama tawala kipo tangu 1977 huwezi kukiondoa kwa hisia ambazo chanzo chake ni ubinafsi wa kundi dogo la watu.Na huko ndio mnapopigwa
Mnaachwa mhangaike na social media, wakati nchi inasonga
Vijana aisee
Kama CCM imeenea Kila mahali na Ina nguvu kiasi hicho kwa nini huwa inavuruga uchaguzi na inaogopa uchaguzi huru na wa haki?CCM imesambaa kila mahali, hizi harakati zipo katika maeneo machache sana. Jitahidi msambae kila mahali.
Na kusambaa pia hakuwezi kuiondoa CCM madarakani kwa sababu imekuwa sehemu ya maisha ya mtanzania wa kawaida. Mbunge anafanya vikao na wananchi wake mwaka 2023 ambao upo katikati ya chaguzi kuu mbili, anatatua matatizo hayo.
Hizi harakati zinapokuja mwaka wa uchaguzi wa 2025 haziwezi kuwa na jipya kwa mpiga kura ambaye kwa pamoja na mbunge wake wametatua kero za kila siku za mwananchi wa jimbo husika.
Jamaa wewe unaishi dunia nyingine. Huwezi linganisha ni sisi tuliokuwa kindakindaki kwa Dkt Magufuli, yaani tulikuwa tayari kufa ili kumlinda Dkt Magufuli, ila leo yupo wapi?????? Kelele hizo siyo chache kama unavyodhani na usidhani hao wapiga kelele ni kura kidogo. Kama tunampenda mwenyekiti wetu ni bora tuwe wapole maana yakitokea kama ya mbobezi watu walisma hahaha mbobezi naye kafaaa hahaha watu walishangilia. Tusifike huko bosi. Kuwa na hekimaHahahahahaa!!!
Mwambie hata asiwe na hofu hata kidogo, hizo comments ni za mazuzu flani machache tu yasiyozidi 2000 ambayo yamepangwa kimkakati wa kiboya kujaribu kumharibia Samia. Mwambie miboya hiyo imeshashindwa tayari na hicho wanachofanya ni kama teke tu la punda anayekufa.
Pia mwambie, miboya hiyo ipo kwa muda mfupi tu, kufikia mwezi novemba, baada ya ushindi wa mama Samia wa 98%, haitokuwepo tena kutokana na njaa kwani mabwana zao wa ulaya wanaowafadhili watajitoa kwanza.
No no big NO bosi. Usidhani hiki ni kikundi kidogo. Dkt Samia anachukiwa na kila mtanzania anayehisi hana cha kupoteza, ni kundi kubwa sana.Vijana wanaongozwa na mihemko ya muda mfupi, chama tawala kipo tangu 1977 huwezi kukiondoa kwa hisia ambazo chanzo chake ni ubinafsi wa kundi dogo la watu.
field na ground hakuna hiyo nonsense gentleman 🐒Hao wanaoandika hivyo huko field hawapo?
Taharuki inaonekana kwa jinsi inavyotumia mabavu kuwanyamazisha wanaowapinga!Hakuna panick kwa watawala, wanao wajibu wa kutimiza kila kero inayosikika kutoka kwa wananchi.
Ukiitazama kama ni panick unakuwa unakosa jicho pana zaidi la kuutazama wajibu wa serikali kwa mwananchi wa kawaida.
Huwezi kuwa na wabunge 350 ukasema chama kinaiba uchaguzi, CCM inashughulika na kero za moja kwa moja za wananchi tena ni muda wote.Kama CCM imeenea Kila mahali na Ina nguvu kiasi hicho kwa nini huwa inavuruga uchaguzi na inaogopa uchaguzi huru na wa haki?
Nchi ni lazima iwe na heshima pamoja na adabu, uhuru ukizidi sana unazaa ujinga sawa na hali ilivyo kule Kenya.Taharuki inaonekana kwa jinsi inavyotumia mabavu kuwanyamazisha wanaowapinga!
Kwa ivo huko field wanaona kupiga kura na Kisha kura hizo kuibiwa ni sawa?field na ground hakuna hiyo nonsense gentleman 🐒
Bado ni kundi dogo kulinganisha na watu wanaofaidika na miradi mingi inayoanzishwa katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake.No no big NO bosi. Usidhani hiki ni kikundi kidogo. Dkt Samia anachukiwa na kila mtanzania anayehisi hana cha kupoteza, ni kundi kubwa sana.
Msanii uyo kutoka Nigeria alipost picha akiwa KIA akisema Guess which country, Cha kushangaza comment zilijaa No reform no election.
Hali hii imemtia hofu msanii huyo Hadi kuamua kurekodi video akiomba watanzania kuwa yeye sio mwanasiasa ni msanii, ameenda mbali kuuliza No reform no election inamaanisha Nini.
Tutakuwepo
View attachment 3358869
View attachment 3358870
Mbona Taarabu tena mkuu ,Ndo maelekezo mlio pewa ?Hahahahahaa!!!
Mwambie hata asiwe na hofu hata kidogo, hizo comments ni za mazuzu flani machache tu yasiyozidi 2000 ambayo yamepangwa kimkakati wa kiboya kujaribu kumharibia Samia. Mwambie miboya hiyo imeshashindwa tayari na hicho wanachofanya ni kama teke tu la punda anayekufa.
Pia mwambie, miboya hiyo ipo kwa muda mfupi tu, kufikia mwezi novemba, baada ya ushindi wa mama Samia wa 98%, haitokuwepo tena kutokana na njaa kwani mabwana zao wa ulaya wanaowafadhili watajitoa kwanza.
Hii unazungumzia uchaguzi wa mwaka 2020 ambako kulikuwa kuna wizi wa kimfumo (systematic election fraudulent & rigging) wa kura ama unazungumzia uchaguzi upi?Huwezi kuwa na wabunge 350 ukasema chama kinaiba uchaguzi...
.
Hakuna watu wenye kujua kuchagua kama watanzania, wanaweza kukupamba ukapambika, wanauweza sana uchawa lakini mioyoni mwao tayari wameshamjua nani anayewafaa na nani hawafai.Jamaa wewe unaishi dunia nyingine. Huwezi linganisha ni sisi tuliokuwa kindakindaki kwa Dkt Magufuli, yaani tulikuwa tayari kufa ili kumlinda Dkt Magufuli, ila leo yupo wapi?????? Kelele hizo siyo chache kama unavyodhani na usidhani hao wapiga kelele ni kura kidogo. Kama tunampenda mwenyekiti wetu ni bora tuwe wapole maana yakitokea kama ya mbobezi watu walisma hahaha mbobezi naye kafaaa hahaha watu walishangilia. Tusifike huko bosi. Kuwa na hekima
Hamtaki uchaguzi huwe huru na haki,akili matope hizo.Hahahahahaa!!!
Mwambie hata asiwe na hofu hata kidogo, hizo comments ni za mazuzu flani machache tu yasiyozidi 2000 ambayo yamepangwa kimkakati wa kiboya kujaribu kumharibia Samia. Mwambie miboya hiyo imeshashindwa tayari na hicho wanachofanya ni kama teke tu la punda anayekufa.
Pia mwambie, miboya hiyo ipo kwa muda mfupi tu, kufikia mwezi novemba, baada ya ushindi wa mama Samia wa 98%, haitokuwepo tena kutokana na njaa kwani mabwana zao wa ulaya wanaowafadhili watajitoa kwanza.
😀 😀 😀 Ukitumia akili yako vizuri utajiona wewe ndo zuzu, huo ushindi wa alimia 98 waambie waweke tume huru ya uchaguzi uone mzee, ukiachana na huo uchawa unadhani watu wanahitaji mabadiliko ya kitu gani?? waruhusu tume huru waone kazi. mpaka sasa wameshindwa kujibu hoja zote wanaishia kuwabambika watu kesi za kubumba 😉🙁Hahahahahaa!!!
Mwambie hata asiwe na hofu hata kidogo, hizo comments ni za mazuzu flani machache tu yasiyozidi 2000 ambayo yamepangwa kimkakati wa kiboya kujaribu kumharibia Samia. Mwambie miboya hiyo imeshashindwa tayari na hicho wanachofanya ni kama teke tu la punda anayekufa.
Pia mwambie, miboya hiyo ipo kwa muda mfupi tu, kufikia mwezi novemba, baada ya ushindi wa mama Samia wa 98%, haitokuwepo tena kutokana na njaa kwani mabwana zao wa ulaya wanaowafadhili watajitoa kwanza.
Huo ni sehemu ya chaguzi nane ambazo zimekuwepo tangu mwaka 1995 tulipoingia kwenye mfumo wa vyama vingi.Hii unazungumzia uchaguzi wa mwaka 2020 ambako kulikuwa kuna wizi wa kimfumo (systematic election fraudulent & rigging) wa kura ama unazungumzia uchaguzi upi?
hizo ni porojo tu za wanaokataliwa na wananchi gentleman 🐒Kwa ivo huko field wanaona kupiga kura na Kisha kura hizo kuibiwa ni sawa?
Unataka kusema huko field wanaona sawa tu kuwa kila mwaka CAG anataja matrilioni ya shilingi kuibiwa ila hakuna hatua zinazochukiliwa?