Msanii Langa afariki Dunia!

Msanii Langa afariki Dunia!

Du vijana na nguvu kazi ya Taifa yanazidi kupotea hasa wasanii, RIP Langa
 
Unga upo kazini ! Alafu cha ajabu kwenye bajeti Unga huu haujatozwa kodi hata kidogoo....
 
Kama kawa! Watu weusi tumeshawazoea, yaani tayari mmeshaifanyia uchunguzi maiti na tayari mna majibu!! Unafki mtaacha lini ninyi waafrika!!?
 
amani kwa Kaka Voda Milionea...
Wastue wanao waache poda wale Mmea...

Jipange
 
cant blv,bt life z too short
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1371135989137.jpg
    uploadfromtaptalk1371135989137.jpg
    10.8 KB · Views: 426
Back
Top Bottom