wanajifanya kuiga mila za magharibi ndio tatizo, wameona amberose kapiga picha hivyo na wao haaaooo, badala ya mtu kufanya yako ukaheshimika wao ndio unataka kutuletea yaaale ati ooh Israel na Uingereza hawana katiba, kwani ni lazima tuwafate wao badala ya kufanya yetu?Huyu dada ni limbukeni.
hivi nani anawapaga mimba hawa malaya wa mjini wasojiheshimu???
Mtoto wa kwanza anafanya ujitoe fahamu?Mnaomtukana hamjui raha ya mtt wa kwanza
Hana adabu kabisa
Ni ujinga zaidi kutetea ujinga[/
Amun Ra to that one!This is beyond insanity...after displaying that potruded stomarch and so forth...what's next then??Women are our moms and sisters but with these stuffs they are posting on the social networks...i dare to say that something is wrong somewhere ethically and morally..God bless all women who know their value.