Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kumradhi mkuu km hujapendezwa
Wewe ni andazi la pembe mbili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni andazi la pembe mbili.
Kweli Mungu atusamehe sana,Ila inaumza sana wengine wajaribu kujenga familia zenye maadili kwa faida ya vizazi vijavyo,wengine kwa ulimbukeni wajitahidi kubomoa.Sasa kutakua na tofauti gani kati ya binadamu aliye na akili ya kusitiri na mnyama asiye na akili!!!!!!!!Daaahhhh sio sawa lakni
Labda alitoa sana so imekuwa ajabuHuyu dada ni limbukeni.
hivi nani anawapaga mimba hawa wa mjini wasojiheshimu???
Hiyo ni mimba Mkuu sio mtotoMnaomtukana hamjui raha ya mtt wa kwanza
Ujinga mbaya ni kupongeza ujinga wa kijinga kwenye mambo ya maana pyuuuum huyo mleta ujinga pamoja na wanaotetea huo ujingaNi ujinga zaidi kutetea ujinga
View attachment 504899 Linah apokea kichambo kwa picha hizi
Msanii wa muziki Bongo Linah Sanga, wiki hii ameamua kutoa picha za muonekano wa tumbo lake lilivyo kwa sasa.
Katika moja ya picha, baadhi ya watu na wadau wa msanii huyo wamemtupia maneno huku wengine wakimtaka avae dera kama nia ni kuonesha tumbo lake.
Wengine wameishia kusema "wanga" ni wengi,unaweza kupigwa jicho tu la husda ukaishia kuzaa mjusi.Hali hii imefanya watu waamini ni kinyume cha maadili na kuiga utamaduni wa magharibi kuonyeshatumbo lenye ujauzito
Yaani mtoto wako anaanza kujengewa tabia mbaya kabla ya kuzaliwa, anakuwa mtu wa kutembea utupu. Duhh.Huyu dada ni limbukeni.
hivi nani anawapaga mimba hawa wa mjini wasojiheshimu???
Unaposema wasihukumu what do you mean???Kuna kitu mimi sikielewi katika maisha ya kila siku ya binadamu. Kwanini sisi walimwengu ni wepesi sana kuhukumu maisha ya wenzetu???? Yaani ukisoma bandiko la huyu mwenzetu it is like.....yeye is super human. Na kila mtu inabidi aishi na kuyaona maisha yeye anavyoyaona. What makes you think that you can impose your values on others? Umeshamuhukumu ni Limbukeni, Malaya, hajiheshimu. Sidhani kama uko sahihi. Jitafakari.
Tuache kuhukumu maisha ya wengine. Linah ana amaisha yake. Let her do what makes her happy.
Mimi simjui na wala si shabiki wake huyu dada. Lakini naamini ana haki ya kufanya anayoyafanya na mwili wake.
Wadada wa kitanzania! Wapi thamani ya miili yenu?View attachment 504899 Linah apokea kichambo kwa picha hizi
Msanii wa muziki Bongo Linah Sanga, wiki hii ameamua kutoa picha za muonekano wa tumbo lake lilivyo kwa sasa.
Katika moja ya picha, baadhi ya watu na wadau wa msanii huyo wamemtupia maneno huku wengine wakimtaka avae dera kama nia ni kuonesha tumbo lake.
Wengine wameishia kusema "wanga" ni wengi,unaweza kupigwa jicho tu la husda ukaishia kuzaa mjusi.Hali hii imefanya watu waamini ni kinyume cha maadili na kuiga utamaduni wa magharibi kuonyeshatumbo lenye ujauzito
Kuna mahali nimesema namlisha au kumlipia pango?Fuatilia maisha yako, waache watu wawe jinsi walivyo, wewe haumlishi, haumlipii pango na wala haujui analala wapi!
Na tatoo juuu kaekeleaa. Yan me nikimuona mwanamke hataa mwanaume kajichora namshangaaa Kama vilee katokea sayar nyingne. Sasa huyoo mtoto akizaliwa akauliza hiyoo nini anamjibu vip? Au na mtoto anataka kuchorwaKweli Mungu atusamehe sana,Ila inaumza sana wengine wajaribu kujenga familia zenye maadili kwa faida ya vizazi vijavyo,wengine kwa ulimbukeni wajitahidi kubomoa.Sasa kutakua na tofauti gani kati ya binadamu aliye na akili ya kusitiri na mnyama asiye na akili!!!!!!!!
Hopeless comments!!Kila mtu na maisha yake
Mnajifanya kukosoa' nyie ndio mliomuumba , jali yako, yakikushinda tuliza domo , kalale ... We inakuuma nn umelazimishwa kumuangalia
Upuuzi tu ndo maana hamuendelei