Msanii Lina Sanga aporomoshewa matusi kwa kuanika picha za nusu utupu za ujauzito wake

Msanii Lina Sanga aporomoshewa matusi kwa kuanika picha za nusu utupu za ujauzito wake

Naona watu wanamtolea maneno ya kashfa wasijue kashfa nayo ni utovu wa maadili tu.

Who are you to judge the life she is living? Before you start pointing fingers make sure your hands are clean
 
huyu demu ameshatoa sana mimba, sasa naona hii kaamua kuifanya ya matangazo!
 
Emancipate yourselves from mental slavery because none but ourselves can free our minds
 
This is not fair Linah, this is too much, you are my favorite singer but for this I undergrade you, ficha mimba onyesha mtoto, waweza zaa maji matupu sasa sijui sifa zitakutoka ama vp..shame on you!!
Dunia imebadilika,maisha yamebadilika.kuna mambo mengi mbya kuliko hii yanatokea na watu kimya,sielewi kwa nini watu mnakasirika huyu binti kuonyesha mtumbo wake.Mastaa wengi kila siku wanapiga picha ma vichupi ,kila mtu atabeba mzigo wake.
 
Dunia imebadilika,maisha yamebadilika.kuna mambo mengi mbya kuliko hii yanatokea na watu kimya,sielewi kwa nini watu mnakasirika huyu binti kuonyesha mtumbo wake.Mastaa wengi kila siku wanapiga picha ma vichupi ,kila mtu atabeba mzigo wake.
Sawa mkuu
 
wewe ndio mpuuzi kwani hujali mila na desturi zetu
16110899_1320748204663360_5817826192216031232_n.jpg
 
Kila mtu na maisha yake
Mnajifanya kukosoa' nyie ndio mliomuumba , jali yako, yakikushinda tuliza domo , kalale ... We inakuuma nn umelazimishwa kumuangalia

Upuuzi tu ndo maana hamuendelei
Ulikuwa na point nzuri sana, lakini sema umetumia nguvu nyingi kuiwasilisha badala ya kutumia akili...
 
Mwacheni Bwana! Nyie Wabongo Wanafk Sn, Kwan Umeambiwa Tumbo Ni Sehemu Za Siri? Je Angeweka Picha Ya Kwapa Lake Mgesemaje? Ni Swala La Mtazamo Na Desturi Za Watu, Hata Ww Mwanamke Wa Bara Ukienda Zanzibar Utaonekana Hajistiri, Wengine Mnashnda Na Kanga Moja Asbh Had Jua Linazama. Kuna Cku Nlikutana Na Dada Mmoja Sunrise Beach, Anaogele Huku Kajtanda Had Kichwani. So Ni Mtazamo Tu. Kwan Ni Ustarabu Gan Kwa Mke Wa Mtu Kujstir Kwa Nguo Af Akaenda Kumvulia Mtu Gest Ambaye C Mumewe? Madada Ckuiz Kujtanda Ni Fassion Tu Lkn Wengi Mioyoni Hawamaanishi. Unajistir Vzr Kwa Nguo Lkn Mtaan Washkaj Kbao Wamekuptia! Km Ni Kutaman, Mwanaume Huwez Mzuia Kutaman Kuptia Nguo, Tutataman Matiti Yalio Ndani Ya Nguo, Tunataman Hips Ambazo Zko Ndani Ya Nguo Nk. Tamaa Ni Akir Ya Mtu Inavo Tafsiri Tu.
 
Sijui itakuwaje siku Sepetunga akibahatika kubeba angalau mfano wa mimba.
 
Waacheni jamani hakuna hakimu mkatili kama umri ipo siku umri ukifika atajiuliza mwenyewe kwa nini aliyafanya haya,hizi Beyonce wanna be zitawaua mapema dada zetu.
 
Kila mtu na maisha yake
Mnajifanya kukosoa' nyie ndio mliomuumba , jali yako, yakikushinda tuliza domo , kalale ... We inakuuma nn umelazimishwa kumuangalia

Upuuzi tu ndo maana hamuendelei

Binadamu ni mnyama mwenye akili na ufahamu mkubwa. Tumejiwekea mila na tamaduni ambazo zinalindwana sheria.

Binadamu tungeishi kwa mawazo kama hayo, boy mzuri tungezalishana ndugu kwa ndugu.
 
Moja ya mambo ambayo hayajawahi na wala hayatakuja wahi kuisumbua akili yangu ni yale yanayofanywa na mtu asiye na uhusiano wowote wa karibu na mimi!!!! Seuze tumbo... hata kama angekaa uchi; wala hainisumbui! Why should I?! Yaani kabisa mtu unatoa povu utadhani huyo Linah ni dadako kwamba anaiabisha familia yenu!!!

Poleni aisee manake kwa maisha ya hivi sasa; mtakuja kuumwa vidonda vya tumbo bila sababu za msingi!!!
 
Back
Top Bottom