Msanii Lina Sanga aporomoshewa matusi kwa kuanika picha za nusu utupu za ujauzito wake

Msanii Lina Sanga aporomoshewa matusi kwa kuanika picha za nusu utupu za ujauzito wake

hahaha machangudoa wanajificha kwenye chaka la usanii.
 
Huyu Linah nahisi kuna mtu anachangia sana kumpotosha,na kama si hivyo basi itakuwa ni ulimbukeni wake tu.
 
mie nadhani tukumbuke hii nchi ni demokrasia na kila mmoja ana uhuru wakufanya jambo analoona ninamfaa kwa uhuru...

simtetei linah wala simkejeli lkni ninachojaribu kusem ni kwamba kabla hajapiga hizi picha mwenyew alijiridhisha nafsi yake na kuona ni za kawaida hadi akafika hatua ya kuzipost kwenye mitandao...
 
Asiishie kutuonesha tumbo tu. Atuoneshe na baba mtoto
 
Mkuu umelitoa kavu kavu mno asee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]katika vitu vinavonikwaza sasa hivi ni kutokujiheshimu mwanammke.
sasa hivi mpaka watoto wanajua aina za nyuchi, na matumbo ya mimba.
Tabia gani hio sasa.
 
Kwa hizi comments. Zinadhihirisha kuwa watanzania hawana exposure.
Picha zake, mtoto wake, mimba yake. Pesa zake, familia yake.
Wanafamilia yeye na mme wake hawajakasirika.
Ika watanzania walalamika.
Kwani hata akionyesha makalio si ya kwake?
Mtasema heshima au tamaduni.
Sijui malaya ila nyie nyie mnaolaumu mara nyingi mnajiuza au mnatongoza Hg au mnaomba wake zanu tigo.
Sasa nyie na linah nani ana dhambi kubwa?

Jitekebisheni achani umbu mbumbu
 
Back
Top Bottom