Mr. Bigman
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 2,560
- 1,300
Dah! Nilikuwa sijawahi ona mimba live! Kumbe inakuwaga hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 504899 Linah apokea kichambo kwa picha hizi
Msanii wa muziki Bongo Linah Sanga, wiki hii ameamua kutoa picha za muonekano wa tumbo lake lilivyo kwa sasa.
Katika moja ya picha, baadhi ya watu na wadau wa msanii huyo wamemtupia maneno huku wengine wakimtaka avae dera kama nia ni kuonesha tumbo lake.
Wengine wameishia kusema "wanga" ni wengi,unaweza kupigwa jicho tu la husda ukaishia kuzaa mjusi.Hali hii imefanya watu waamini ni kinyume cha maadili na kuiga utamaduni wa magharibi kuonyeshatumbo lenye ujauzito
Hata mbuzi akibeba mimba ya mtoto wa kwanza hana ujinga huo na ujue uchungu ni uchungu tu.Kubwa wanawake wengi hawajitambui.Mnaomtukana hamjui raha ya mtt wa kwanza
kipindi anatoka nilikuwa namuona kama mshamba flan hivi, sasa sku hozi tena naona kazidisha u much know.Ulimbukeni,na yeye aonekane wa kisasa
Baba kuwa mchungaji siyo tatizo yeye ni mtu mzima ajitambue mwenyewe.Flora mbasha ni mjukuuu wa Marehemu askofu mozes kulola lakini ujinga anaoufanya hata shetani anamshangaa maana ni wa 4g.Hawa ndio wanaofanya Dada zetu waonekane wana akili za kuvukia Barabara tu.
Huyu bint kama sio mkinga, halafu baba yake si ni mchungaji?
kipindi anatoka nilikuwa namuona kama mshamba flan hivi, sasa sku hozi tena naona kazidisha u much know.
anahangaika kweli
anazingua, sasa mtu miaka inaongezeka lakin akili zarud nyuma, ukute anashinda sana na ma teenager maana ndio akili anazo onesha now teh teh!Marafiki alionao ndio matokeo yake haya. Saiv anataka maisha ya juu,ya mashindano mitandaoni
Baba kuwa mchungaji siyo tatizo yeye ni mtu mzima ajitambue mwenyewe.Flora mbasha ni mjukuuu wa Marehemu askofu mozes kulola lakini ujinga anaoufanya hata shetani anamshangaa maana ni wa 4g.
How!Ajabu sana....!!!
How!
Ujue ndiyo wanaowindwa zaidi ili kuaibisha huduma za wazazi wao.Hadi sasa wanajiona wako sawa kumbe wameoza.Kwa watoto wa viongozi wa dini kufanya mambo ya ajabu kama haya.
Bora tuwape nyie mnaojieshimu..Huyu dada ni limbukeni.
hivi nani anawapaga mimba hawa wasojiheshimu???
Kichwa chako kibovu.. ...Beyonce ndo nabii wako... Akifanya tu inakuwa sawaMbna kina Beyonce wakipiga mnaishia kugonga like... Wabongo acheni unafiki
Hicho ni kipindi kitamu sana kwa kijana ukifika utajua
Hiyo sio mwanae wa kwanza alishakiri kuwa alishatoa mimba kadhaa hivyo kumfanya kuwa mama wa marehemu. Kutoa mimba hakumuepushi MTU kutokuwa mama Bali atajulikana kama mama wa marehemu. OverMnaomtukana hamjui raha ya mtt wa kwanza
Kichwa chako kibovu.. ...Beyonce ndo nabii wako... Akifanya tu inakuwa sawa