Msanii Linah afunguka ashawahi kutoa mimba mara mbili

Msanii Linah afunguka ashawahi kutoa mimba mara mbili

Ni ajabu sana mtu kaua mara mbili halafu anatangaza hadharani kama amefanya jambo la maana sana katika jamii. Mimi huwa nashangaa hata mtu akitangaza hadharani kuwa yeye anatembea (Ngonoka) na msichana/mvulana fulani. Kuna sifa yoyote kuanika mambo kama haya hadharani?
 
Ujue shahawa hasa za sie walaji wa pilipili wanasema huwa ni za moto sana pindi tunapowakojolea wanawake, huenda ndio sababu alikuwa anakubali kukojolewa drai pasi na kujali kama kitatokea nini
 
Kabla ya kupata mtoto wa kike linah afunguka kuwa ashawahi kuchoropoa mimba mbili. Na hayo ndo yalikuwa majibu yake alipokuwa akiulizwa na Mtangazaji Soudy Brown >>>“Yah nisiwe muongo nilishawahi kutoa mimba kipindi cha nyuma, nilikuwa naogopa kwasababu Baba yangu alikataa mtu kubeba mimba nje ya ndoa” “Mimba nimezitoa, siyo mara nyingi ila naweza kusema kama mara mbilii”:-Linah

View attachment 561702
Linah akiwa na binti yake
Upeo wako wa kufikiri ni mdogo sana
 
Asthaghfirullah Astaghfirullah Astaghfirullah!Hyu ndo mtoto alietokea kanisani anaropoka haya hadharani na hana hata woga wala haya!Kwa hyo sa hv kaolewa au???????
 
Hajaolewa wala kutolewa posa
Asthaghfirullah Astaghfirullah Astaghfirullah!Hyu ndo mtoto alietokea kanisani anaropoka haya hadharani na hana hata woga wala haya!Kwa hyo sa hv kaolewa au???????
 
Kwa hiyo huyo mtoto wake wa sasa hivi ni wa kwanza au watatu??

Task Force12
 
Back
Top Bottom