h120
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 2,544
- 3,361
Nawashangaa wengi mnachoponda ni yeye kuweka hadharani mabaya aliyokwishapita kuyafanya, hoja kuu iwe kutoa mimba na si kukiri kutoa mimba, kama mabaya hayatakiwi kuwekwa hadharani au kufahamika pasipo na shaka ni tembeo la unafiki huku ukijivika utakatifu na kuwa wa kwanza kunyoosha kidole kwa waliokosea kwa kujihami na usiri wa machafu yako.