Msanii Linah afunguka ashawahi kutoa mimba mara mbili

Kabla ya kupata mtoto wa kike linah afunguka kuwa ashawahi kuchoropoa mimba mbili. Na hayo ndo yalikuwa majibu yake alipokuwa akiulizwa na Mtangazaji Soudy Brown >>>

“Yah nisiwe muongo nilishawahi kutoa mimba kipindi cha nyuma, nilikuwa naogopa kwasababu Baba yangu alikataa mtu kubeba mimba nje ya ndoa” “Mimba nimezitoa, siyo mara nyingi ila naweza kusema kama mara mbilii”:-Linah

View attachment 561702
Linah akiwa na binti yake
Kaungame

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khalafu bado anavuta pumzi ya kitaa! huyu alitakiwa awe ndani haraka sana kichanga angekuwa anapelekewa kukinyonyesha huko.
 
Kabla ya kupata mtoto wa kike linah afunguka kuwa ashawahi kuchoropoa mimba mbili. Na hayo ndo yalikuwa majibu yake alipokuwa akiulizwa na Mtangazaji Soudy Brown >>>

“Yah nisiwe muongo nilishawahi kutoa mimba kipindi cha nyuma, nilikuwa naogopa kwasababu Baba yangu alikataa mtu kubeba mimba nje ya ndoa” “Mimba nimezitoa, siyo mara nyingi ila naweza kusema kama mara mbilii”:-Linah

View attachment 561702
Linah akiwa na binti yake
Kwa sasa amezaa ndani ya NDOA

May Allah bless Me and You
 
mmmh huwa sielewi mtu unazaa unabaki na kitambi, nu uoga wa kufunga tumbo au? Mastar wetu hawaangalii cha kujibu, kwani lazima ukiri ushatoa looh

Huwezi juwa labda kajifungua kwa operesheni
 
Back
Top Bottom