You are right. Kwanza pale si kanisani kwamba alikuwa anatubu!Hata kama ni confession si kila kitu ni cha kuongea hadharani... Akumbuke kuna kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Kajifungua kwa operationHuwezi juwa labda kajifungua kwa operesheni
... nilikuwa naogopa kwasababu Baba yangu alikataa mtu kubeba mimba nje ya ndoa ...β
- Linah
Kumbe baba ni mchungaji hu hu hu!Hili ni jaribu la mchungaji Sanga jamani,tumuombee! Mtoto gani huyu[emoji135][emoji135][emoji135].
Sent using Jamii Forums mobile app
mwenyewe hana uhakika I guess ni zaidi ya hizoππsiyo mara nyingi ila naweza kusema kama mara mbilii