Msanii Linah amwanika Mwanaume Wake

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Stori: Paparazi Wetu
BAADA ya minong'ono ya muda mrefu, hatimaye staa wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah' ameweka wazi kuwa anatoka kimapenzi na Nagari Kombo.

Akiteta na kona hii, wikiendi iliyopita jijini Dar es Salaam, Linah alisema: "Ni kweli kwa sasa natoka na Kombo, ndiye mwanaume wangu, sina haja ya kuficha. Mimi na Amini imebaki stori tu, hata yeye ana mtu wake."

Kombo alijipatia umaarufu siku za nyuma baada ya kuingia uwanjani na kumkumbatia mchezaji Ricardo Kaka wa Timu ya Taifa ya Brazil iliyokuwa ikichuana na Taifa Stars katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
GPL
 
Ukiwa huna nyota ya wanaume huna tu aisee karuka majivu kakanyaga motoo

uyo aliingiaga uwanjani ghafla kwenye mechi ya Tanzania na Brazil ili kumkumbatia Kaka na alikula kipigo kizito,wabongo naona wanamuita mtu maarufu mweee!! ngoja nitupitie mapicha yake zaidi ufaidi
 

Nagery Ally Kondo akijitosa uwanjani...

Kwa raha zake...

Lengo lake ni kumkumbatia KAKA tu...
 

Hatimaye azma yake imetimia, KAKA bia ajizi amkumbatia Ally Kondo...

Sasa lengo limetimia ni wakati wa kuondoka mechi iendelee...

mkono kwa mkono, bega kwa bega...

Haya sasa nenda bwana Kondo tuendelee na boli...
 

Oyeee! nimetimiza azma yangu...

Kwa heri bwana Kondo...

Shadarack Nsajigwa (namba 14) kapteni wa Taifa Stars akishangaa jamaa aliyejitosa kwenda katikati ya uwanja kumkumbatia KAKA wakati mechi inaendelea...

Ya mwisho mwishooo...
 

Kwaherini...

Sasa nipelekeni kokote sina neno, azma yangu nishaitimiza...

Sijapata kufurahi maishani mwangu kama leo...

Twende zetu huku tukazungumze kwa kituo...
 

Kijana wetu huyu hana tatizo huyu, ni mshabiki tu kama mashabiki wengine, lakini tunaye...

Nagery Ally Kondo (21) akiwa ndani ya ofisi za Clouds FM Radio katika kipindi cha 'Power Breakfast' na Gerald Hando (shati jekundu) na Paul James (PJ) mwenye kofia.
 
Money Stunna nimecheka sana hizo picha za uwanjani hasa pale nsajigwa anapomshangaa.
Yaani wenzake wapo katikati ya mechi ye anaenda mkumbatia kaka uwanjani???
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri mshamuona vya kutosha,Kibongobongo ashakuwa celebrity naye anabeba totoz

Ila pamoja na ushabikii yaan mwanaume mwenzio unamkimbiliaa aisee ningekua mimi angekua kaniabisha sanaa maana ningeona kaka ni wa mana kuliko yeyee tenaa
 
Mastaa wa bongo kwa kujifedhehesha hawambo.
 
Anaitwa Nagari Ally Kondo au Nagari Kombo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…