Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,469
jamaa anasoma IFM mwaka wa pili sasa anachukua bachelor ya Information Technology
Khaaa!!Kumbe ni denti, basi asaidiwe jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa anasoma IFM mwaka wa pili sasa anachukua bachelor ya Information Technology
Jamaa anaitwa ibrahim said, hana msimamo mkali sana ila anaijua dini kwa kiasi chake. Hakuwa na matatizo ya akili kama watu na vyombo vya habari vilivyoaminisha watu, ana akili zake timamu na za wastani.
Kuprove hilo, those days wakati wa shule yake. Alipata kusoma kati ya best schools kwa tanzania enzi hizo (early 2000's). Nazungumzia Ilboru na Tabora boys. So huwezi niambia alikuwa hana akili timamu, na wakati tukio lile linatokea, jamaa ndio alikuwa kamaliza form six,
Ile issue ilimlostisha kwa kiasi fulani jamaa.
Stori: Paparazi Wetu
BAADA ya minongono ya muda mrefu, hatimaye staa wa Bongo Fleva, Estelina Sanga Linah ameweka wazi kuwa anatoka kimapenzi na Nagari Kombo.
Akiteta na kona hii, wikiendi iliyopita jijini Dar es Salaam, Linah alisema: Ni kweli kwa sasa natoka na Kombo, ndiye mwanaume wangu, sina haja ya kuficha. Mimi na Amini imebaki stori tu, hata yeye ana mtu wake.
Kombo alijipatia umaarufu siku za nyuma baada ya kuingia uwanjani na kumkumbatia mchezaji Ricardo Kaka wa Timu ya Taifa ya Brazil iliyokuwa ikichuana na Taifa Stars katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
GPL