Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
- Thread starter
- #21
Sasa hapo munacho dis ni nini?
Mlitaka awe na nani? Ndo mngelizika?
Wengine hapa munawapenzi micharuko kuliko huyo wa lina.
Hahahaha naona umewapa makavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo munacho dis ni nini?
Mlitaka awe na nani? Ndo mngelizika?
Wengine hapa munawapenzi micharuko kuliko huyo wa lina.
Hahahaa 😀 Mkuu Money Stunna .. Tena kwa kuchagua..
lile paja lake limeshapata soko? dah..
she is a good marketing and sales woman!
Ila pamoja na ushabikii yaan mwanaume mwenzio unamkimbiliaa aisee ningekua mimi angekua kaniabisha sanaa maana ningeona kaka ni wa mana kuliko yeyee tenaa
Na yule aliompiga Mheshimiwa Mwinyi kibao angekuwa Sharobaro sasa hivi angekuwa na totoz kali za bongo movies au bongo fleva kwa bahati nzuri yule ni swala 5 hawezi kufanya hivi
dogo hamkai Lina kwasababu ya umaarufu wa kuingia uwanjani.....haka katoto kabishi flani wayback!ni katoto ka kinondoni manyanya kinadeal na nyeupe tangu kipo darasa la 5 na base yake ipo south africa ndo alipojuana na huyu Lina alipoenda dizonga na masogange kwani malaya wote wanaopeleka mzigo dizonga huyu dogo na wanawe ndo wanawapokea magetoni kwao!hata washkaji wengi wa bongo wanaoenda dizonga mara nyingi dogo ndo mwenyeji wao!.....
uyo aliingiaga uwanjani ghafla kwenye mechi ya Tanzania na Brazil ili kumkumbatia Kaka na alikula kipigo kizito,wabongo naona wanamuita mtu maarufu mweee!! ngoja nitupitie mapicha yake zaidi ufaidi
kumbe linah mweupe 😀
una akili sana...sifa ya mwanaume ni kuvimba!si kuleta shobo tena kwa mwanaume mwenzako
Muuza Sura hapo tu ndo unaniacha hoi...kama nikufaham vile?:hat:
Muuza Sura hapo tu ndo unaniacha hoi...kama nikufaham vile?:hat:
lina nae anahangaika jaman loo!
Muuza Sura hapo tu ndo unaniacha hoi...kama nikufaham vile?:hat: