Msanii Linah amwanika Mwanaume Wake

Msanii Linah amwanika Mwanaume Wake

Money Stunna nimecheka sana hizo picha za uwanjani hasa pale nsajigwa anapomshangaa.
Yaani wenzake wapo katikati ya mechi ye anaenda mkumbatia kaka uwanjani???

Huwezi kuficha hisia, kama ni mpenzi wa soka kuna mchezaji unayemuadmire kutokana na vitu vyake uwanjani. Na kwa jamaa inaonekana anamuadmire Ricardo izecson dos santos Leite a.k.a Kaka'. So ni kutofautiana ujasiri tuu.

Wengine huonesha admiration kwa kuvaa jezi ya mchezaji husika, wengine hununua picha ya mchezaji husika, wengine hutafuta video clips za mchezaji husika ila kwa Jamaa ujasiri wake ulipitiliza mpaka kuamua kujitosa uwanjani.
 
Last edited by a moderator:
Na yule aliompiga Mheshimiwa Mwinyi kibao angekuwa Sharobaro sasa hivi angekuwa na totoz kali za bongo movies au bongo fleva kwa bahati nzuri yule ni swala 5 hawezi kufanya hivi

Jamaa anaitwa ibrahim said, hana msimamo mkali sana ila anaijua dini kwa kiasi chake. Hakuwa na matatizo ya akili kama watu na vyombo vya habari vilivyoaminisha watu, ana akili zake timamu na za wastani.

Kuprove hilo, those days wakati wa shule yake. Alipata kusoma kati ya best schools kwa tanzania enzi hizo (early 2000's). Nazungumzia Ilboru na Tabora boys. So huwezi niambia alikuwa hana akili timamu, na wakati tukio lile linatokea, jamaa ndio alikuwa kamaliza form six,

Ile issue ilimlostisha kwa kiasi fulani jamaa.
 
ilimlostisha kivipi?
 
Sasa hapo munacho dis ni nini?
Mlitaka awe na nani? Ndo mngelizika?
Wengine hapa munawapenzi micharuko kuliko huyo wa lina.

Lugha sasa! Kiswahili umezaliwa nacho unaandika hivi, zile za kujifunza darasani utaandikaje?
Tunawaonea bure waalimu nchini tukiwalaumu!
 
Ila pamoja na ushabikii yaan mwanaume mwenzio unamkimbiliaa aisee ningekua mimi angekua kaniabisha sanaa maana ningeona kaka ni wa mana kuliko yeyee tenaa

Halafu mwanaume mwenyewe anamshika kiuno!!! hii haijakaa sawa!
 
Ilimkosesha kwenda chuo jamaa kwa muda stahiki. coz kama sijakosea mwaka ule ndio jamaa ilipaswa afanye mishe za chuo, badala yake akaishia selo.

jamaa anasoma IFM mwaka wa pili sasa anachukua bachelor ya Information Technology
 
Wow!!!

Kumbe ndio huyu supasta?!

Nilikuwa simjui!
 
Huyo dogo ana miaka 21 au kipindi hiko alivyomkumbatia kaka ndio alikuwa ana miaka 21? Nagary Ally ashakuwa super star sasa naye anachukua wabebe wakareeee you know.
 
Hiyo ya uwanjani ndio imekua habari zaidi ya kutoka na linah, ana mahaba na KAKA huyo kaka
 
Huyu manzi si alililia mwanaume kule mombasa?

hivi tigo extreme yake bado nzima?
 
Back
Top Bottom