Msanii Maarufu wa Nigeria Mercy Aigbe Asilimu

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Msanii maarufu ambae ameshinda tuzo tofauti kwa uigizaji, amesilimu.

Ni mwigizaji wa Nigeria, mtengenezaji wa filamu na mfanyabiashara, Mercy Aigbe ambaye hivi karibuni amesilimu. Kusaidia Hadithi za Uongofu wa Kiislamu.

Mercy ambae amechaguwa kw sasa aitwe Hajiya Meena amesilimu mwezi wa Ramadhan iliyopita baada ya kujifikiria kwa muda mrefdu. Mwaka huu pia amekwenda Makkah Kuhiji.

Allahu Akbar.

Misukuke Again. RELIGION IS AN OPIUM OF THE PEOPLE by Karl Marx yaan
Binadamu Mpumbavu mnyime Mirungi, Bangi, Cocaine nk weee mpe Neno tuuuuuu likisha mwingia atakuwa teja na Ndondocha mpaka anaingia kaburini akili imevurungwa.
Tufanye mambo kwa kiasi. Dini zetu ndio ustaarabu wetu tuwe na kiasi
 
Haya yote ni baada ya kufurahishwa na Koran Sura ya Majini na mashetani aya za Shetain.. Hongera zake kuchagua hell...
Wewe unasubiri nini? Dunia nzima sasa hivi wanaiona Nuru ya Uislam

Usidanganyike kijana, usome Uislam.

1690094784871.png

Ni wazi kabisa, hata moyo wake una furaha.
 
Msanii maarufu ambae ameshinda tuzo tofauti kwa uigizji, amesilimu.

Ni mwigizaji wa Nigeria, mtengenezaji wa filamu na mfanyabiashara, Mercy Aigbe ambaye hivi karibuni amesilimu. Kusaidia Hadithi za Uongofu wa Kiislamu.

Mercy ambae amechaguwa kw sasa aitwe Hajiya Meena amesilimu mwezi wa Ramadhan iliyopita baada ya kujifikiria kwa muda mrefdu. Mwaka huu pia amekwenda Makkah Kuhiji.

Allahu Akbar.

Msanii maarufu ambae ameshinda tuzo tofauti kwa uigizji, amesilimu.

Ni mwigizaji wa Nigeria, mtengenezaji wa filamu na mfanyabiashara, Mercy Aigbe ambaye hivi karibuni amesilimu. Kusaidia Hadithi za Uongofu wa Kiislamu.

Mercy ambae amechaguwa kw sasa aitwe Hajiya Meena amesilimu mwezi wa Ramadhan iliyopita baada ya kujifikiria kwa muda mrefdu. Mwaka huu pia amekwenda Makkah Kuhiji.

Allahu Akbar.

Hngera yake
 
Na mwarabu hapa anataka kukuoa ajuza wewe wa yupo DP world
AlhamduliLlah, mie toka juzi nna migeni ya Kiarabu kibao hapa kwangu Mkuranga, jana wameona raha kile kimvua kidogo na greenery ya hapa, kula kondoo kwa kwenda mbele. Wakmekataa hata kurudi mjini kwenye mahoteli yao, wamesema kambi hapa hapa. Hivi wako huko wanawinda kanga kwa manati.
 
Msanii maarufu ambae ameshinda tuzo tofauti kwa uigizji, amesilimu.

Ni mwigizaji wa Nigeria, mtengenezaji wa filamu na mfanyabiashara, Mercy Aigbe ambaye hivi karibuni amesilimu. Kusaidia Hadithi za Uongofu wa Kiislamu.

Mercy ambae amechaguwa kw sasa aitwe Hajiya Meena amesilimu mwezi wa Ramadhan iliyopita baada ya kujifikiria kwa muda mrefdu. Mwaka huu pia amekwenda Makkah Kuhiji.

Allahu Akbar.

Hivi,kuwa muislam ni big issue?Mmefikia wangapi duniani hadi leo?
 
AlhamduliLlah, mie toka juzi nna migeni ya Kiarabu kibao hapa kwangu Mkuranga, jana wameona raha kile kimvua kidogo na greenery ya hapa, kula kondoo kwa kwenda mbele. Wakmekataa hata kurudi mjini kwenye mahoteli yao, wamesema kambi hapa hapa. Hivi wako huko wanawinda kanga kwa manati.

Una wageni kwako.mwenye kitu anaeleza
 
Kwa hiyo ndiyo tushindane kwa idadi?Bahati njema ukoo wangu una watu wa dini zote.Huwa nashangaa haya majidai mnatoa wapi?
Nani amekwambia kua kuna mashindano ya idadi? hakuna mtu anayetaka kujua habari za ukoo wako hapa,yako wapi hayo majidai kwenye hii thd? unataka kuhukumu watu kwa tafsiri zako binafsi?
 
Back
Top Bottom