The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Mimi huwa najiuliza,kwanini mtu maarufu kuingia uislam huwa inakuwa habari kubwa sana?wakati dini ni kama nyumba ya kupanga mtu ukiingia nyumba hii huielewi unaingia nyumba nyengine.
Jana nimeona kuna masawe nae alikuwa ananadiwa humu,kuna nini cha ziada kinapatikana baada ya haya?
Jana nimeona kuna masawe nae alikuwa ananadiwa humu,kuna nini cha ziada kinapatikana baada ya haya?