Hebu fikiri japo kidogo. Uislam unanifundisha kuwa kila muumini ni mchungaji wa kuamrisha mema na kukataza maovu.Baki na ujinga wako
Kijana unafahamu maana ya "kristo"? Kama hufahamu sema nikufahamishe.Niliwauliza wakristo walinieleza vyema hilo.
Kristo(Yesu) hakua mkristo kwasababu yeye ndio Kristo.
Wafuasi wa Kristo ndio wanaitwa Wakristo na mfumo wao wa uhusiano na Mungu wanaoufuata ndio ukristo.
Sasa Yesu hawezi kuwa mfuasi wa Yesu(Kristo) yeye ndio Yesu(Kristo) Mwenyewe anaefuatwa na wanaomwamini.
Yani wewe huna hata hoja Mungu akusaidie sana.Wapi amekufunsiha uwe Mkristo?
Fikiri, usijibu kishabiki tu.
"Wakristo" kwa mara ya kwanza waliitwa na Waarabu huko Syria tena waliitwa "nasrani" yaani wa Nazareti, sasa sifahamu huyo aliyewapachika "Ukristo" uwa ni dini ni nani?
Nyie aliyewaita kondoo hajakosea. Yaani mnanisikitisha sana, binaadam unaitwa "Kondoo" na wewe unafurahi na kushekelea tu?
Hebu jifikirie kiukwli kabisa, bila ushabiki.
Si kweli. Hakuna dini yenye amani na isiyo na chuki na yeyote zaidi ya Uislam. Tusidanganyane tafadhali.Nilijiondosha huko siku nyingi.Siwezi kuwa na dini yenye chuki chungu tele.Pomoni!Tooop!
Dah, uemmfundishwa wapi hayo? wakati Yesu kwenye biblia ananukuliwa akisema, hakuleta amani bali kaleta upanga? Mimi kama Muislam nasema waliyoiandika hiyo biblia wamemzulia tu. Wewe unasemaje?Yani wewe huna hata hoja Mungu akusaidie sana.
Sijafundishwa kuwa mkristo nimefundishwa upendo,kusamehe n.k mkristo ni mtu anayemuamini yesu kristo so Hilo jina la "mkristo" is not a big deal hata likibadilishwa au lisiwepo kabisa, what matters ni TUNAMUAMINI YESU KRISTO AMBAYE NI VERY POWERFUL,MERCYFUL, MARVELOUS N.K AAAAAAH sifa zake ni nyingi mnoo
Karl Marx hakuwa na uelewa wowote kuhusu dini na Iman.Misukuke Again. RELIGION IS AN OPIUM OF THE PEOPLE by Karl Marx yaan
Binadamu Mpumbavu mnyime Mirungi, Bangi, Cocaine nk weee mpe Neno tuuuuuu likisha mwingia atakuwa teja na Ndondocha mpaka anaingia kaburini akili imevurungwa.
Tufanye mambo kwa kiasi. Dini zetu ndio ustaarabu wetu tuwe na kiasi
Uislamu ulishajaribu kuuondosha Ukristo hapo awali Ila wakashindwa.Usijisahaulishe mkuu.Au unasemaje "muislamu mwenzangu"?Si kweli. Hakuna dini yenye amani na isiyo na chuki na yeyote zaidi ya Uislam. Tusidanganyane tafadhali.
Uisla m ungekuwa na chuki unafikiri leo hii ungeuona Ukristo ardhi hii? Fikiri kabla hujajibu kishabiki.
kuna watu watakereka.. m.mungu amfanyie wepesi adumu katika dini ya hakiMsanii maarufu ambae ameshinda tuzo tofauti kwa uigizji, amesilimu.
Ni mwigizaji wa Nigeria, mtengenezaji wa filamu na mfanyabiashara, Mercy Aigbe ambaye hivi karibuni amesilimu. Kusaidia Hadithi za Uongofu wa Kiislamu.
Mercy ambae amechaguwa kw sasa aitwe Hajiya Meena amesilimu mwezi wa Ramadhan iliyopita baada ya kujifikiria kwa muda mrefdu. Mwaka huu pia amekwenda Makkah Kuhiji.
Allahu Akbar.
Uislam siyo "religion" Uislam ni way of life.Misukuke Again. RELIGION IS AN OPIUM OF THE PEOPLE by Karl Marx yaan
Binadamu Mpumbavu mnyime Mirungi, Bangi, Cocaine nk weee mpe Neno tuuuuuu likisha mwingia atakuwa teja na Ndondocha mpaka anaingia kaburini akili imevurungwa.
Tufanye mambo kwa kiasi. Dini zetu ndio ustaarabu wetu tuwe na kiasi
Yesu ni mfalme wa amani na ndivyo tulivyo we don't fight for so called dini unlike youDah, uemmfundishwa wapi hayo? wakati Yesu kwenye biblia ananukuliwa akisema, hakuleta amani bali kaleta upanga? Mimi kama Muislam nasema waliyoiandika hiyo biblia wamemzulia tu. Wewe unasemaje
Sio kweli. Umar bin Khattab alisign mkataba wa kuwapa uhuru wakristo na makanisa yao waendelee kufanya ibada zao pasina kubugudhiwa. Na alikuwa na uwezo wa kuwamaliza ila hakufanya hivoUislamu ulishajaribu kuuondosha Ukristo hapo awali Ila wakashindwa.Usijisahaulishe mkuu.Au unasemaje "muislamu mwenzangu"?