Msanii Mbalamwezi kutoka kundi la 'The Mafik' afariki dunia ikidaiwa ni kutokana na majeraha ya kupigwa



Sure Jf inaanza kupungua kasi
 
Uzee huu mzee mwenzangu..
Sio kila mtu anakaa jf all the time
Ila Kule Instagram vijana wengi wanakesha muda wote
 
Nasikia mwili wake umeokotwa ukiwa hauna nguo, sijui alikumbwa na nini kaka wa watu maskini.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Skuizi jf inalala sana, hata Facebook kule Kweny page yao,habari wanapost masaa 6 hadi 8 mbele wakati wenzao ITV,Azam wanapost habar mapema sana tu zikitokea
labda uongozi wa jf hauna enough manpower ya kuratibu kurasa zao za social media. kwa mfano page ya millard ayo na page ya global publisher zina ma reporter karibia kila mkoa na kila wilaya.

ndio maana ni rahisi kwao kufika eneo la tukio kwa wakati na kuripoti kwenye kurasa zao.
 

Ohooo
 
praise team watasema jamaa alikuwa mtu wa chadema maana huo mtaa si ndio HQ ya chadema?!.....natania tu, sio vibaya kuchombeza utani msibani, ndio desturi yetu waswahili. [emoji16][emoji16][emoji16]
Duh alikuwa anakaa opposite na nyumba ya mufti wa tz.....
Praise team tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…