Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Waaachane na Wake za watu jamani duuh R.I.P Baharia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ule wa when you let her goKumbe ni mmojawapo wa walioimba wimbo wa Passenger!!
Hakika hawa vijana walifanya kazi nzuri.. R. I. P Mbalamwezi.
[emoji23][emoji23][emoji23]yule hapana aisee..bora nijiite mason mountbado utanijiita ZOUMA fc
Leo nimejua kazi yako .kumbe we polisi
Ukiona mtu anawatetea ujue huyo polisi.
Vip upo benk gani mwanza
Sure Jf inaanza kupungua kasi
Hivi ajali wanakutwaga uchi?Alikuwa mgonjwa au ni ajali? Pole kwa ndugu jamaa, marafiki na mashabiki wake. Binafsi ndio nimemjua kupitia habari hizi ingawa kundi lake nimelisikia mara kadhaa.
MmhSaturday , 15th Dec , 2018
Msanii wa kundi la The Mafik anayejulikana kwa jina la Mbalamwezi, amekamatwa na jeshi la Polisi mkoa wa Kinondoni kwa tuhuma za wizi.
Tukio hilo limetokea hapo jana baada ya msanii huyo kumuibia dereva wa gari ya moja ya kampuni zinazotoa huduma za usafiri binafsi jijini Dar es salaam (Taxify), aliyejulikana kwa jina la Calvin.
Akisimulia tukio hilo Calvin amesema Mbalamwezi aliitisha usafiri akitumia simu ya mwenzake, lakini alipokuwa njiani alionekana kuwapigia simu watu kuomba hela kwani hakuwa na pesa ya kumlipa dereva, na ndipo alipochukua uamuzi wa kumuibia dereva baada ya kumfanya apoteze fahamu.
Meneja wa kundi la The Mafik aliyejitambulisha kwa jina la Kapasta amesema ni kweli kuna hilo tukio, lakini ndio yuko njiani akielekea kituo cha Polisi Oysterbay ambako msanii huyo amewekwa rumande ili ajue kinachoendelea.
East Africa Television ilifanya jitihada za kumtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni Jumanne Muliro, lakini alijibu hawezi kuzungumza kwa wakati huo kwani alikuwa kwenye ziara ya Waziri Mkuu.
Msanii wa The Mafik akamatwa kwa wizi | East Africa Television
Msanii wa kundi la The Mafik anayejulikana kwa jina la Mbalamwezi, amekamatwa na jeshi la Polisi mkoa wa Kinondoni kwa tuhuma za wizi.www.eatv.tv
Unawawajua wasafi tu Tanzania nzima?!Siwajui hao vijana..
Kumbe ukiacha wasafi kuna wanamuziki wengine tz
Ndio mkuuUnawawajua wasafi tu Tanzania nzima?!
tulikuwa tunajiridhisha nayo mkuu kwanzakwani hii ni udaku?. na mbona imeletwa late sana jf?.
Boss wao ni King Solomon,Shemeji wa Jose KabilaDuh alikuwa anaishi mtaa ufipa na wasanii wenzake!
Ova
basi sawa mkuutulikuwa tunajiridhisha nayo mkuu kwanza
Ufipa wapo cdm,ufipa ? wanachadema tumepoteza jembe
Hivi unajua chenge ni majirani na cdmufipa ? wanachadema tumepoteza jembe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanamionekano ya ajabu ajabu tu