mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mkuu una # ya m. BirianApiki tena yule anaweka chumvi nyingi
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu una # ya m. BirianApiki tena yule anaweka chumvi nyingi
Ngoja tusubiri wengine wanasema mke wa mtu wengine wanasema wiziBado sijapata code ila nlikuwa namuona tu nkipitaga ufipa nkafahamu kmbe wasanii Hao ndy wanaishi hapo
Ila source itajulikana tu....
Ova
Hivi vibaka wakimkuta mtu kajeruhiwa/kafa na amepiga pamba Kali, hawawezi kupita na nguo,simu na waleti yake?Hivi ajali wanakutwaga uchi?
Hii tekno imejaa mafaili mkuu nimeona hapo juu kwenye screenshotHuyo wa katikatiView attachment 1182527
Aya...aya....ayaa... Hawa panya road siku hizi wanaimbaSaturday , 15th Dec , 2018
Msanii wa kundi la The Mafik anayejulikana kwa jina la Mbalamwezi, amekamatwa na jeshi la Polisi mkoa wa Kinondoni kwa tuhuma za wizi.
Tukio hilo limetokea hapo jana baada ya msanii huyo kumuibia dereva wa gari ya moja ya kampuni zinazotoa huduma za usafiri binafsi jijini Dar es salaam (Taxify), aliyejulikana kwa jina la Calvin.
Akisimulia tukio hilo Calvin amesema Mbalamwezi aliitisha usafiri akitumia simu ya mwenzake, lakini alipokuwa njiani alionekana kuwapigia simu watu kuomba hela kwani hakuwa na pesa ya kumlipa dereva, na ndipo alipochukua uamuzi wa kumuibia dereva baada ya kumfanya apoteze fahamu.
Meneja wa kundi la The Mafik aliyejitambulisha kwa jina la Kapasta amesema ni kweli kuna hilo tukio, lakini ndio yuko njiani akielekea kituo cha Polisi Oysterbay ambako msanii huyo amewekwa rumande ili ajue kinachoendelea.
East Africa Television ilifanya jitihada za kumtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni Jumanne Muliro, lakini alijibu hawezi kuzungumza kwa wakati huo kwani alikuwa kwenye ziara ya Waziri Mkuu.
Msanii wa The Mafik akamatwa kwa wizi | East Africa Television
Msanii wa kundi la The Mafik anayejulikana kwa jina la Mbalamwezi, amekamatwa na jeshi la Polisi mkoa wa Kinondoni kwa tuhuma za wizi.www.eatv.tv
We acha utani jamaa...lori la mafuta ni khabari nyingine..mke mtu ni hatari kuzidi Lori la mafuta
Duh alikuwa anaishi mtaa ufipa na wasanii wenzake!
Ova
Wamepanga! Kuna nyumba Ina geti, vioo, safii tuAlikua amepanga mitaa ya ufipa?au ndio ghetto la masela
Kuna apartment kma 3 Ndani muleAlikua amepanga mitaa ya ufipa?au ndio ghetto la masela
Hivi unajua chenge ni majirani na cdm
Ova
Wamepanga! Kuna nyumba Ina geti, vioo, safii tu
Ova
Mmh!!Saturday , 15th Dec , 2018
Msanii wa kundi la The Mafik anayejulikana kwa jina la Mbalamwezi, amekamatwa na jeshi la Polisi mkoa wa Kinondoni kwa tuhuma za wizi.
Tukio hilo limetokea hapo jana baada ya msanii huyo kumuibia dereva wa gari ya moja ya kampuni zinazotoa huduma za usafiri binafsi jijini Dar es salaam (Taxify), aliyejulikana kwa jina la Calvin.
Akisimulia tukio hilo Calvin amesema Mbalamwezi aliitisha usafiri akitumia simu ya mwenzake, lakini alipokuwa njiani alionekana kuwapigia simu watu kuomba hela kwani hakuwa na pesa ya kumlipa dereva, na ndipo alipochukua uamuzi wa kumuibia dereva baada ya kumfanya apoteze fahamu.
Meneja wa kundi la The Mafik aliyejitambulisha kwa jina la Kapasta amesema ni kweli kuna hilo tukio, lakini ndio yuko njiani akielekea kituo cha Polisi Oysterbay ambako msanii huyo amewekwa rumande ili ajue kinachoendelea.
East Africa Television ilifanya jitihada za kumtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni Jumanne Muliro, lakini alijibu hawezi kuzungumza kwa wakati huo kwani alikuwa kwenye ziara ya Waziri Mkuu.
Msanii wa The Mafik akamatwa kwa wizi | East Africa Television
Msanii wa kundi la The Mafik anayejulikana kwa jina la Mbalamwezi, amekamatwa na jeshi la Polisi mkoa wa Kinondoni kwa tuhuma za wizi.www.eatv.tv
Ingekuwa mimi ndio wewe ningekuwa na utamaduni wa kusoma thread kwa makini. angalia hiyo habari ilitolewa lini na huyo kafa lini!!!Duuu
Mkuu umenifanya niingie U-tube kuutazama huu wimbo. Hakika, aliutendea haki. Mungu amrehemu!Daah Dogo alikimbiza sana kwenye nyimbo yao "passenger"