Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama alivuliwa nguo, mbali zilivutwa na impact ya ajali. As I said, freak accident, Najiuliza Je aliruka from a moving vehicle, alikua dragged with the vehicle au ilikua hit and run that ripped his clothes off?Nimemsikia Mjomba wa marehemu anasema marehemu alikutwa amevuliwa nguo zote na madaktari wanasema alikanyagwa na gari maana utumbo ulikuwa nje wote na alisha haribika hivyo atazikwa kesho.
Impact ya ajali ndo inamvua hadi boxer?Sidhani kama alivuliwa nguo, mbali zilivutwa na impact ya ajali. As I said, freak accident, Najiuliza Je aliruka from a moving vehicle, alikua dragged with the vehicle au ilikua hit and run that ripped his clothes off?
American chips au makaburi ya Kino ya mwanzo
Una turn kushoto kama unatokea mnyanya
Ova
labda uongozi wa jf hauna enough manpower ya kuratibu kurasa zao za social media. kwa mfano page ya millard ayo na page ya global publisher zina ma reporter karibia kila mkoa na kila wilaya.
ndio maana ni rahisi kwao kufika eneo la tukio kwa wakati na kuripoti kwenye kurasa zao.
Ni December 2018.This means polisi ndo wamemuua
Nimemsikia Mjomba wa marehemu anasema marehemu alikutwa amevuliwa nguo zote na madaktari wanasema alikanyagwa na gari maana utumbo ulikuwa nje wote na alisha haribika hivyo atazikwa kesho.
gari likaenda kumtupa ufukweni?
Kweli damu ya mtu si mchezo. Sasa mkishamkanyaga na gari si bora mumuache barabarani tu ionekane kagongwa na gari?Hapana sema hujaelewa tuu kwa hali ya kawaida ni kwamba alifanyiwa unyama kabisa na alipigwa kwanza na wakamkanyaga na gari na kumvua nguo na kwenda kumtupa!
Mtemi Ana ny--- kama 3--- kitaa kileUpande wa juu opposite na american chips,kwahiyo mtemi chenge anakaa mitaa hiyo
Mtemi Ana ny--- kama 3--- kitaa kile
Ova