Msanii Mbalamwezi kutoka kundi la 'The Mafik' afariki dunia ikidaiwa ni kutokana na majeraha ya kupigwa

Msanii Mbalamwezi kutoka kundi la 'The Mafik' afariki dunia ikidaiwa ni kutokana na majeraha ya kupigwa

Uzee huu mzee mwenzangu..
Sio kila mtu anakaa jf all the time
Ila Kule Instagram vijana wengi wanakesha muda wote
JF inaendelea kuendeshwa na sie wahenga, damu changa si nyingi, kwenye hili jukwaa la umbea tunategemea kupata taarifa kutoka kwa kina warumi ambao na wenyewe washazeeka[emoji1]
 
Ila ule muonekano wake ulikuwa unatia mashaka sana hasa zule hereni zake kubwa Kubwa hakuwa na undugu na kina James delicious kweli plus mwili umwokotwa hauna nguo
 


Maelezo haya yanasikitisha sana. Huyu dulla anajua kilichotokea kwanini ataje salasala na marehemu kakutwa mbezi kuna uwezekano aliteswa sala sala aatupwa mbezi na alijuaje vifaa ni vya nani lazma alimuona navyo salasala ... na hao vijana wenzake wanajua pia wameendaje kuchukua vifaa na walijuaje vipo kwa mtendaji kwanini wamwite mwenzao chizi wakati interview nyingine walisema alienda kwenye mishe zake tu ina maana walikuwa wanajaribu kumrubuni wapate vifaa na simu...kwanini wako worried na vifaa na simu kuliko rafiki yao..badala ya kuuliza nani kabileta maaana tunamtafuta ni ndugu yetu wanataka wapewe waondoke navyo..hakika kama kuna dna watakuta fingerprint zao kwenye gitaa na kwanini hawakuenda kuvifuata tena vifaa baada ya kuambiwa waende polisi...kama wanajua alipotea kwanini hawana rb? Jamaa walikua wanajua msela keshachomoa.
Hata maelezo ya Mwenyekiti kuna namna yanakanganya. Mwanzoni amekiri kuwa aliletewa vifaa na Bwana anaitwa Dullah. Baadaye anakanusha kuwa Mtendaji wake ndiye aliviwasilisha kwake kwa niaba ya Dullah.

Aliwaambia vijana kuwa siwatambui na huyo mwenzenu simtambui. Ila baada ya kupatiwa taarifa za kifo chake akasikitika kwa kuwa aliyekufa bado ni kijana mdogo.

Poleni wafiwa!
 
Pumzikaaaa amani Mbalamwezi Mungu akuweke unakostahili. Umeondoka mapema sanaaaa
 
Duh alikuwa anakaa opposite na nyumba ya mufti wa tz.....
Praise team tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
mpwaaaaaaaa kama n hayaaaa ashafikaa aheraa na dhambi zakee ashasameheewa kukaaa KARIBU na mufti nayooo n baaarakaa
 
mpwaaaaaaaa kama n hayaaaa ashafikaa aheraa na dhambi zakee ashasameheewa kukaaa KARIBU na mufti nayooo n baaarakaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Naaminiii amelambaaa upakooo WA Allah swabahanaa wataala vyakutosha.....arehemiwe jirani yetuuu hope ashalamba ardhii mchanahuu
 
DUNIA INAMAMBOOO HIII DAH MPAKANKUONDOAANAAAROHOO

SHETANIII AMEVAA UBINADAMU SO SAD
 
Back
Top Bottom