Maelezo haya yanasikitisha sana. Huyu dulla anajua kilichotokea kwanini ataje salasala na marehemu kakutwa mbezi kuna uwezekano aliteswa sala sala aatupwa mbezi na alijuaje vifaa ni vya nani lazma alimuona navyo salasala ... na hao vijana wenzake wanajua pia wameendaje kuchukua vifaa na walijuaje vipo kwa mtendaji kwanini wamwite mwenzao chizi wakati interview nyingine walisema alienda kwenye mishe zake tu ina maana walikuwa wanajaribu kumrubuni wapate vifaa na simu...kwanini wako worried na vifaa na simu kuliko rafiki yao..badala ya kuuliza nani kabileta maaana tunamtafuta ni ndugu yetu wanataka wapewe waondoke navyo..hakika kama kuna dna watakuta fingerprint zao kwenye gitaa na kwanini hawakuenda kuvifuata tena vifaa baada ya kuambiwa waende polisi...kama wanajua alipotea kwanini hawana rb? Jamaa walikua wanajua msela keshachomoa.