Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Sipiriani si unamuona siku hizi alivyokuwa [emoji23] [emoji23] [emoji23].Mwingine ni Sipiriani na Sosopita mutoto wa muenyekiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipiriani si unamuona siku hizi alivyokuwa [emoji23] [emoji23] [emoji23].Mwingine ni Sipiriani na Sosopita mutoto wa muenyekiti
mke mtu ni hatari kuzidi Lori la mafutaNasikia mwili wake umeokotwa ukiwa hauna nguo, sijui alikumbwa na nini kaka wa watu maskini.
Sipiriani kama mkorofi sana yule atulii anapenda kupinga kelele tuSipiriani si unamuona siku hizi alivyokuwa [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Yuko mwingine anaitwa Mariam Birian.Siwajui hao vijana..
Kumbe ukiacha wasafi kuna wanamuziki wengine tz
Ndiyo maana tumemwondoa kwenye umoja wetu.Sipiriani kama mkorofi sana yule atulii anapenda kupinga kelele tu
huwa hatupost udaku tunasubiri habari iwe verified ndiyo tunaipost.wanasema katika dunia ya sasa ya teknolojia ya digitali, information is power.
ila jf siku hizi tunapitwa sana na habari. inawezekana member wengi umri wetu umeenda, hatuwezi tena kukimbizana na kasi ya vijana wa instagram na twitter ktk kutafuta habari.
kule instagram na twitter habari za kifo cha huyu msanii zimeanza kusambaa masaa sita yaliyopita. hapa jf habari hii imeanza kuwa reported masaa mawili yaliyopita.
RIP mbalamwezi.
ipo siku wakimkamata watampigaNdiyo maana tumemwondoa kwenye umoja wetu.
ufipa ? wanachadema tumepoteza jembeDuh alikuwa anaishi mtaa ufipa na wasanii wenzake!
Ova
wanamionekano ya ajabu ajabu tuNimejaribu kuangalia mionekano ya wanao unda hilo kundi inaacha sana maswali, mwaka jana alikamatwa na polis, sasa inaonekana kuna wizi alikuwa anaupiga mahali akaonywa akakaataa kuskia....
Tusubiri siku ya muenge tuone kama atapika.ipo siku wakimkamata watampiga
bado utanijiita ZOUMA fcSiwajui hao vijana..
Kumbe ukiacha wasafi kuna wanamuziki wengine tz
Huyo ndio alietaka kupambana na mkali wao amber rutty?Yuko mwingine anaitwa Mariam Birian.
kwani hii ni udaku?. na mbona imeletwa late sana jf?.huwa hatupost udaku tunasubiri habari iwe verified ndiyo tunaipost.
Apiki tena yule anaweka chumvi nyingiTusubiri siku ya muenge tuone kama atapika.
Naona unatafuta connection ya tukio na ulimwengu usioonekana[emoji16][emoji16]lete findings mkuu[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]