Msanii Menina aitwa na BASATA baada ya video zake zisizo na maadili kusambaa

Basata wamemuitia nini?Hiyo ni police case nadhani au kesi ya TCRA
 
Video iko wapi?
 
hii kitu imenikumbusha vitu flani,,

Nakumbuka kuna jamaa mmoja aliitwa john njema kwa wanaomkumbuka wayback aliimba wimbo wa wachumba thelathini..huyu jamaaa alikumbwa na kisanga kama hicho at the end alijiua

Jamaa alipataga ugonjwa wa akili akawa anatembea uchi..anarob rob tu mtaani na suti yake ya kuzaliwa bila wasi...jamaa baada ya kupona akawa anapewa stori kuwa alikua anatembea uchi ..inaonekana ile kitu ilimsumbua sana mpaka akaamua ajiue..

Kuna mcheza porn pia anaitwa mia khalifa now ameacha kucheza porn na juzi kati alichumbiwa na mshikaji akataka amuoe..kwenye interview aliulizwa ni kitu gani kinachokutatiza kwenye maisha yako,akajibu hana amani kila sehemu anayokwenda watu wanamshangaa sana na kumtizama kwa jicho flani, like they know kila kitu kuhusu utupu wake ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…