Msanii Menina aitwa na BASATA baada ya video zake zisizo na maadili kusambaa

Bongo movie akili zao wanazijua wenyewe, kujikatisha mauno peke yake chumbani uchi. Kazi kweli kweli.
 

Hivi kwani mumelazimsihwa kutizama? Wao wanarusha kwa Starehe zao na sisi mashabiki wao tunatizama kwa starehe zetu. Nyinyi musiyoyapenda yapotezeeni tu nashangaa yanakushulisheni. Kwani hili Taifa lina maadili kwani? hao viongozi ndio wanaongoza kwa WIZI, USHIRIKINA na UZINZI.
 
Usanii kwa Tz ni moja ya kitega uchumi... pesa wanapata kwa biashara hiyo!
 
Alipo hapo yeye mwenyewe hana maadili. Kila mtu kuna sehemu hana maadili... na kila mtu ana raha zake
 
Hata kama kukiwa na kutokuelewana kuvujisha picha za uchi za demu wako sio maadili ya mwanaume anaejitambua

weee hawa wanakuwaga na nyodo sana wakati wa kukubwagwa hii ndio dawa yao hawa viumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…