TANZIA Msanii Mkongwe Mohammed Fungafunga (Mzee Jengua) afariki Dunia

TANZIA Msanii Mkongwe Mohammed Fungafunga (Mzee Jengua) afariki Dunia

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
MKONGWE wa Tasnia ya Maigizo nchini Mohammed Fungafunga maarufu Kama Mzee Jengua amefariki dunia asubuhi ya Disemba 15 huko Mkuranga, mkoani Pwani.

Marehemu alikua akisumbuliwa na Maradhi ya Kiharusi.

Enzi za uhai wake, Mzee Jengua alikua akiigiza Maigizo kama vile Kidedea, Handsome wa Kijiji, Kashinde na zingine nyingi.

Mungu aiweke roho yake mahala pema.

Ameen.

=======

Jengua amefariki leo asubuhi, kwa taarifa ya awali tunatarajia kumzika kesho saa nne asubuhi Mburahati, amefia nyumbani kwa Mtoto wake Mkuranga, sio vyema kusema maradhi ya Mwenzetu kwasababu Daktari ndiye anaweza kuthibitisha kifo ila ameumwa kwa muda kidogo, nashindwa kusema hapa kifo kimetokana na nini”-Chiki Mchoma, Mwenyekiti wa Waigizaji

1.jpg
jjng.jpg

Picha: Mzee Jengua enzi za Uhai wake
 
Muhammed fungafunga maarufu mzee jengua aliekuwa msanii amefariki dunia leo desemba 15 2020 huko mkuranga mkoani pwani
Mke wake amethibitisha

M/mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema
Amiin
Dah. RIP jembe la bongo movie Jengua. Mwenyezi Mungu akupe pumziko la milele
 
Back
Top Bottom