Leonardo Harold
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 1,088
- 2,122
#justice for mohbad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Label zina ishu za siri, hawa watoto wakiingia huko huapishwa aidha kuhusika nazo au kunyamaza. Ndio sababu wengi husumbiliwa kutoka hata hapa kwetu.Ila baba mtu ana roho mbaya unamzikaje mtoto wako Usiku wa manane na jeneza halimtoshi wakambetua kichwa pembeni kiukweli yule kijana ameonewa na Ndio maana imekuwa mtafaruku hajafa kifo cha halali kabisa,sijui aliwakosea nin hao watu na huyu kijana kawasumbua wamemuua lakin watu wamemtetea
hivi report ya kifo chake imetoka Au bado?
We mjinga nimekufuatilia sana kila mtu clssmate wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata uzi wa D7 ulikomenti hiviR.i.P Classmate...[emoji25]
Label yake ya zamani ndio watuhumiwa wakuu na kuna kampeni kubwa inaendelea nyimbo zao zisichezwe kwenye media mbalimbaliRip mohbady
chanzo sjui n nn
Muda wa kutafuta jeneza wangeupata wapi na wanaharakisha kuficha mchongo. Ilikuwa azikwe usiku huohuo kwenye udongo ndio dada mtu akaomba ifanyike siku inayofuata, palipokucha tu wakafukia.Huu msiba umeniuma kama jamaa alikua ndugu yangu dah,kuna dj nae alikua anafanya kazi kwa naira amekua chizi huwa anawapa madawa ukitaka kuchomoka,,,huyu naira ni katili sana unaambiwa kabla ya kifo cha mohbad naira alipewa ubaloz na watu wanaozibit mambo ya dawa za kulevya (Wakati yeye ni muuza unga)huku na kule wakamkamata mohbad ndio kisa chakupewa hayo madawa,,,hawa jamaa walimfanya mwenzao aishi kwa shida sana na hadi anaingia kaburini maana sio kwa kijeneza kile unaambiwa pasta alikandamiza shingo ili aenee kwenye jeneza,,,,,kijeneza kidogo wakamzika haraka haraka wakati davido alitoa naira mil2 walishindwa kumtafutia jeneza kubwa[emoji1373]ndio mana watu wanasema hadi familia yake inahusika!
Hiv ni Niger au Nigeria?Pia kwa Niger alikua na kesi ya kugushi CREDIT CARD
💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻
Ngoja ninywe maji kwanza
Wagawane faida au awatengenezee pesa? Unajua vizuri kugawana faid kwel??..hii system ipo kwenye smart buznes only.Kwakifup hawa ni punda tu wanatumika kwenye hizo label..Ndio hivyo wanataka msanii abaki wagawane nae faida
Dah..kama kwel basi hapa marehem ni fala sanaa hata kama kauawaMuda wa kutafuta jeneza wangeupata wapi na wanaharakisha kuficha mchongo. Ilikuwa azikwe usiku huohuo kwenye udongo ndio dada mtu akaomba ifanyike siku inayofuata, palipokucha tu wakafukia.
Mzee wake anaweza kushiriki kwa kuhongwa kuzima ishu na ni rahisi kwake kukubali sababu nahisi ana kinyongo.
Ameishi na hao watoto tangu wadogo mama alipomtelekezea, Mohbad alipopata umaarufu akajenga mapenzi na mama. Hata sasa nasikia mama yuko kwenye apartment nzuri akipokea wageni wa heshima na kupokea rambirambi huku mzee anaishi kwenye kijumba na hakuna anayejali.
Dogo alisababisha gap hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimjinga kitambo sana mkuu, sema wewe ndio ulichelewa kujua kama mi mjinga😂We mjinga nimekufuatilia sana kila mtu clssmate wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata uzi wa D7 ulikomenti hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo story ya wazazi si kweli!!!Muda wa kutafuta jeneza wangeupata wapi na wanaharakisha kuficha mchongo. Ilikuwa azikwe usiku huohuo kwenye udongo ndio dada mtu akaomba ifanyike siku inayofuata, palipokucha tu wakafukia.
Mzee wake anaweza kushiriki kwa kuhongwa kuzima ishu na ni rahisi kwake kukubali sababu nahisi ana kinyongo.
Ameishi na hao watoto tangu wadogo mama alipomtelekezea, Mohbad alipopata umaarufu akajenga mapenzi na mama. Hata sasa nasikia mama yuko kwenye apartment nzuri akipokea wageni wa heshima na kupokea rambirambi huku mzee anaishi kwenye kijumba na hakuna anayejali.
Dogo alisababisha gap hili
Sent using Jamii Forums mobile app
NIGERIA mkuuHiv ni Niger au Nigeria?
Kwahiyo, kuandamwa kote huko sio mambo ya muziki tu, ni aidha ishu za madawa ama imani za giza.
Kwa ufupi
Sent using Jamii Forums mobile app
DuhZa kunyapia zinasema nairamarley ni muuza unga mkubwa na ni muabudu shetani na ukiingia label hiyo unatakiwa ukubali kuwa muabudu shetani
Mohbad amelelewa makuzi ya maadili na kanisani baada ya kukataa ndio akaanza kulazimisha kutoka na ndio mambo yakaanza kuwaka
Katika stori nzima ya maisha yake kosa kubwa ni hiliDah..kama kwel basi hapa marehem ni fala sanaa hata kauawa
[emoji28]Mimjinga kitambo sana mkuu, sema wewe ndio ulichelewa kujua kama mi mjinga[emoji23]
DaahZa kunyapia zinasema nairamarley ni muuza unga mkubwa na ni muabudu shetani na ukiingia label hiyo unatakiwa ukubali kuwa muabudu shetani
Mohbad amelelewa makuzi ya maadili na kanisani baada ya kukataa ndio akaanza kulazimisha kutoka na ndio mambo yakaanza kuwaka