TANZIA Msanii Mohbad kutoka Nigeria afariki dunia

TANZIA Msanii Mohbad kutoka Nigeria afariki dunia

Nilikuwa simjui jamaa ila kwa hizi trends za kifo chake nikabidi niangalie imekuwaje dah.?

Kuna binadamu ni wakatili sana kisa tu wapate Hela au umaarufu

Alichofanyiwa jamaa sio haki hata kidogo.!

Hata hawa ambao walihisika kununua jeneza pia wanatakiwa kushikiliwa na kuuawa kabisa unamvunja vipi mtu shingo wakati tayar alishakufa

Kuna vitu havipo sawa.!

Sheria ya kunyongwa inatakiwa kurudi haraka hii chain yote iliyohusika wanatakiwa kunyongwa wasipelekwe segerea hata mmoja
 
Back
Top Bottom