Von Dee
JF-Expert Member
- Apr 7, 2018
- 349
- 601
Daah inasikitisha sana yaani unaumizwa /kuuawa kwa sababu ya juhudi zako za kujipambania maisha yako!!?
Binadamu tuna roho ngumu sana na za kikatili kuliko kiumbe yeyote yule hapa duniani๐ญ๐ญ
Binadamu tuna roho ngumu sana na za kikatili kuliko kiumbe yeyote yule hapa duniani๐ญ๐ญ
Yaani huyu mohbaad alikua msanii chini ya label anayo miliki bwana Naira marley
Sasa Kutokana na manyanyaso ya hapa na pale kijana mohbad akaachana na label hiyo , lakini katika label hiyo kijana mwenye nyota na mvuto ni yeye
Bifu likaanzia hapo
Wakazidi kumnyanyasa na kumkkatalia hata zile nyimbo alizofanya alizokua huko sio miliki yake
Show zikakata
Mungu sio bwana mwigulu ๐ ๐ si jamaa akaendelea kupambana akaendelea kung'aa
Mke wake akjifungua mtoto wa kiume wanaedai watu sio wake ni wa SAMLARRY ( mi nahisi huyu samlarry alikua tu na wivu na mohbad na mwanamke wake thou mtoto hajafanana na mohbad lakini kafanana na mama yake)
Bifu kali kati ya mohbad, nairamarley samlarry na vijana wa label husika likapamba motoooo
Mohbad amekua akisema hadharani wanamtisha na wanataka kumuua (naira marley na samlarry)
Na ikitokea amekufa ni wao wamehusika
Lakini ndio hivyo binadamu wa nigeria hawakumzingatia
Mwisho wa siku huyu mohbad alitangazwa amekufa na vijana watatu lakini kwenye video hiyo waliokua live mohbad alionekana hajafa maana alitaka kujiinua wakakatisha live hiyo.
Kuna nesi alimchoma sindano mohbad ila hatambuliki na shirika la wauguzi huko ni nesi fake
Katika video kabla ya kifo mohbad alisema walimpa chupa yenye maji akanywa baada ya hapo akawa anahisi kuchanganyikiwa na kupoteza kumbukumbu
Alipozinduka alirekodi tena kuelezea
Mara anamwambia mke wake amtumie mtu voice kwenye whatsapp yake na anasema aakifa ni wao
๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ป mambo ni mengi sana sana
Sasa baba yake mohbad yuko chini ya ulinzi nahisi/wanager wanahisi walishamtishia na anajua mengi kuhusu kifo hiko naye anahofu so hakusema
Na maziko yaamefanyika haraka haraka
Na hata jeneza ndio kama ulivyoona
Inasemekana alizikwa akiwa hajafa na ndio maana kuna damu kaburini kwa jeneza
ili kumaliza ushahidi na watu wakaweka zege juu kumaliza mchezo
Na Naira marley na samlarry wako WANTED na hawajulikani walipo lakini samlarry alisemekana kukimbilia kenya
Huku manager wa Mohbad akitakiwa polisi maana huwa 100% na mohbad kkatika kila safari yake
Lakini safari hii hakupatikana kokote
Pia huyu manager ni rafiki wa karibu na wauajiwatesi wa mohbad
HISTORIA YA NAIRA MARLEY ni WANTED huko UK na nchi nyingine kwa kesi za wizi na uharifu pia kujeruhi watu sio mtu
Pia kwa Niger alikua na kesi ya kugushi CREDIT CARD
๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ป
Ngoja ninywe maji kwanza