TANZIA Msanii Mohbad kutoka Nigeria afariki dunia

Label zina ishu za siri, hawa watoto wakiingia huko huapishwa aidha kuhusika nazo au kunyamaza. Ndio sababu wengi husumbiliwa kutoka hata hapa kwetu.

Kwahiyo, kuandamwa kote huko sio mambo ya muziki tu, ni aidha ishu za madawa ama imani za giza.

Kwa ufupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda wa kutafuta jeneza wangeupata wapi na wanaharakisha kuficha mchongo. Ilikuwa azikwe usiku huohuo kwenye udongo ndio dada mtu akaomba ifanyike siku inayofuata, palipokucha tu wakafukia.

Mzee wake anaweza kushiriki kwa kuhongwa kuzima ishu na ni rahisi kwake kukubali sababu nahisi ana kinyongo.

Ameishi na hao watoto tangu wadogo mama alipomtelekezea, Mohbad alipopata umaarufu akajenga mapenzi na mama. Hata sasa nasikia mama yuko kwenye apartment nzuri akipokea wageni wa heshima na kupokea rambirambi huku mzee anaishi kwenye kijumba na hakuna anayejali.

Dogo alisababisha gap hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kwa nini watu wema huwa wanapitia misukosuko sana hapa Duniani...

Huyu Mohbad nimemsoma kwenye page za Wa Nigeria namna wanavyomuongelea... hadi unasema hakustahili kupitia mateso aliyoyapitia...

Na wanadai Mateso kutoka Naira Marley yalianza kitambo.... ila hakuna aliyemsikiliza alipokuwa analalamika[emoji26]

Naona Wa Naigeria wameanza kampeni ya kum'unfollow Naira...alikuwa na followers karibua 7..M, sasa hivi wamebakia kama 6...M
 
Pia kwa Niger alikua na kesi ya kugushi CREDIT CARD


💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻
Ngoja ninywe maji kwanza
Hiv ni Niger au Nigeria?
 
Ndio hivyo wanataka msanii abaki wagawane nae faida
Wagawane faida au awatengenezee pesa? Unajua vizuri kugawana faid kwel??..hii system ipo kwenye smart buznes only.Kwakifup hawa ni punda tu wanatumika kwenye hizo label..

FUNZO.
vijana tuwe makini sana na hiz kind of buznes partnership tunazoziingia.njaa zisitangulie mbele tukashindwa kuona mambo ya msingi ya mbele
 
Dah..kama kwel basi hapa marehem ni fala sanaa hata kama kauawa
 
Hiyo story ya wazazi si kweli!!!
 
Kwahiyo, kuandamwa kote huko sio mambo ya muziki tu, ni aidha ishu za madawa ama imani za giza.

Kwa ufupi

Sent using Jamii Forums mobile app

Za kunyapia zinasema nairamarley ni muuza unga mkubwa na ni muabudu shetani na ukiingia label hiyo unatakiwa ukubali kuwa muabudu shetani
Mohbad amelelewa makuzi ya maadili na kanisani baada ya kukataa ndio akaanza kulazimisha kutoka na ndio mambo yakaanza kuwaka
 
Duh
 
Daah
Huzuni sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…