Msanii msomi Nikki wa Pili na Fiesta

mkuu ni kweli wanapanda coaster tour kibao za kamati za bunge,elewa hivyo na huo ni ukweli,kama hautotuamini tunaohusika maeneo hayo basi,utakuwa umezaliwa kubisha...
 
....unajichanganya sana dogo...ila,
..ongea vitu kwa takwimu acha maneno mengi!..ajabu sana hata hiyo application hadi Niki aanzishiwe uzi ndo waja kuitangaza!
..unajielewa lakini?
 
Niki wa pili fiesta anapata hela nzuri tuu yakumtosheleza malipo atakayolipwa ruby sio sawa na niki so usimfananishe ruby na niki stop being a hater fanyayako
 
Hii Tanzania wanaopiga HELA sio wasomi Aisee!
Hebu fuatilia wanaongoza kwa kupiga HELA na wanaojipendekeza (kufuta viatu)
Jipendekeze upaishwe!!.
 
Kunawatu wabishi jamni hawa ndio wale wanaombiwa yesu atarudi tena dunia wao watabisha nani kaenda akarudi
 
Nikki kasoma yale masomo mepesi ya kike unategemea nini.. Angesoma medicine. IT. Engineering. Law... Interview mademu 20 njemba 1

Hahahaa hao jamaa wa Socialogy tulikuwa tunawaita BASO CHIPS maana jamaa wanaongoza kwa kwenda club, kulala, pombe na GPA za maana ila baada ya kumaliza tukirudi mtaa ndio tufauti yetu na wao ndio inaonekana wanajua kupendeza hao 24/7 hawanaga hofu wala mawazo ya kuwaumiza kichwa wakiwa chuo ila mtaa ndio unawahara sasa.
 
mwisho wa siku pima uyo aliejitambua kaingiza sh ngapi na niki kaingiza sh ngap
 

Role model wako Chindo nae yuko kwenye list ya wasanii wa Fiesta Arusha
 

Uliyekuwa unamshangilia Chindo Man nae atakuwepo kwenye show ya Fiesta Arusha
 
chuki, wivu ,ujinga na Mazoea kuwa ukifanya kazi ya sanaa unatakiwa usiwe msomi, Nyie mnaodharau kazi yake mlitaka afanye kazi ipi kama kazi anayofanya anaipenda na inamuingizia kipato.
Mbaya zaidi wanao mponda wana vijimshahara vya laki sita kwa mwezi.
 
anabebwa bebwa tu lakin hamna kitu...hajawai niinspire hata siku1 wenyw masters wapo wengi tu wametulia nao,majuzi kati nliona anawauliza wenzake maswali ya wadau JF
Jamaa analazimisha fani vilevile anasafiria nyota ya Joh Makini, hana ubavu wa kusimama yeye mwenyewe.
 
Si aliimba kua hataki kazi.mbona nae anasombwa na fiesta ,hana lolote hakuna mwenye jeur ya kukataa ajira
Wenye hiyo jeuri tuko wengi Lj. mwaka wa5 ss kitaa hustling zinaendelea na hata kajimshipa ka kumlaumu mtukufu kwa kufungia ajira hamna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…