LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,320
- 6,686
mkuu ni kweli wanapanda coaster tour kibao za kamati za bunge,elewa hivyo na huo ni ukweli,kama hautotuamini tunaohusika maeneo hayo basi,utakuwa umezaliwa kubisha...nimekaa dodoma kikazi mwaka mmoja hilo jambo sikuwahi kuliona au labda limeanza enzi hizi za Kazi tuu..Pia kulalamika posho ndogo sio kukubali kupanda hizo bus..Sikubaliani na wewe 100% nipe ushahidi wa kipande cha habari kinachoonyesha transportation system inavyokua na hizo bus ziwe included kwa conditions kadhaa