Msanii msomi Nikki wa Pili na Fiesta

Msanii msomi Nikki wa Pili na Fiesta

nimekaa dodoma kikazi mwaka mmoja hilo jambo sikuwahi kuliona au labda limeanza enzi hizi za Kazi tuu..Pia kulalamika posho ndogo sio kukubali kupanda hizo bus..Sikubaliani na wewe 100% nipe ushahidi wa kipande cha habari kinachoonyesha transportation system inavyokua na hizo bus ziwe included kwa conditions kadhaa
mkuu ni kweli wanapanda coaster tour kibao za kamati za bunge,elewa hivyo na huo ni ukweli,kama hautotuamini tunaohusika maeneo hayo basi,utakuwa umezaliwa kubisha...
 
Basi vice versa is true hao maarufu unaowasema!! hawana kitu huko mjini ni mboyoyo tu... Hip hop halisi wanajitambua na mashabiki wake ni real ...wanauza sana t shirt, Albams, mix tapes, concerts, show za kubufu na bado wanafanya kazi za kijamii sio zama zile mzee.. hebu wasapoti kwa kudownload Apllication inaitwa African Music Now usikilize Hip Hop halisi sio za kiwaki mnazolazimishwa kuskiliza
....unajichanganya sana dogo...ila,
..ongea vitu kwa takwimu acha maneno mengi!..ajabu sana hata hiyo application hadi Niki aanzishiwe uzi ndo waja kuitangaza!
..unajielewa lakini?
 
Niki wa pili fiesta anapata hela nzuri tuu yakumtosheleza malipo atakayolipwa ruby sio sawa na niki so usimfananishe ruby na niki stop being a hater fanyayako
 
Hii Tanzania wanaopiga HELA sio wasomi Aisee!
Hebu fuatilia wanaongoza kwa kupiga HELA na wanaojipendekeza (kufuta viatu)
Jipendekeze upaishwe!!.
 
nimekaa dodoma kikazi mwaka mmoja hilo jambo sikuwahi kuliona au labda limeanza enzi hizi za Kazi tuu..Pia kulalamika posho ndogo sio kukubali kupanda hizo bus..Sikubaliani na wewe 100% nipe ushahidi wa kipande cha habari kinachoonyesha transportation system inavyokua na hizo bus ziwe included kwa conditions kadhaa
Kunawatu wabishi jamni hawa ndio wale wanaombiwa yesu atarudi tena dunia wao watabisha nani kaenda akarudi
 
Nikki kasoma yale masomo mepesi ya kike unategemea nini.. Angesoma medicine. IT. Engineering. Law... Interview mademu 20 njemba 1

Hahahaa hao jamaa wa Socialogy tulikuwa tunawaita BASO CHIPS maana jamaa wanaongoza kwa kwenda club, kulala, pombe na GPA za maana ila baada ya kumaliza tukirudi mtaa ndio tufauti yetu na wao ndio inaonekana wanajua kupendeza hao 24/7 hawanaga hofu wala mawazo ya kuwaumiza kichwa wakiwa chuo ila mtaa ndio unawahara sasa.
 
mwisho wa siku pima uyo aliejitambua kaingiza sh ngapi na niki kaingiza sh ngap
 
Hip hop aint change!! Kwani hao wa chuga hawatengenezi hela?? Wanazipiga kimya kimya!! Watengwa wanapiga shows kwenye mafestival mbefele, wanapiga shows za kutosha!! Project ziko mingi ushadownload application ya African Music Now?? Usikie project zao!! Wana hatua kuliko hao unaowasema wanatutangaza nje na show zao ndo maana wanaishia kumiliki vipaso... Nje tulishatangazwa na X plastaz long time
Linganisha maendeleo ya hao maarufu na underground forever hip hop mceez wa Chuga
Anyway Albamu ya Chindo Torati ya Mtaa iko on the way ina nyimbo 19..na inasambazwa kimtaa na inauzwa na watu wanamake money thats hustling ... sio kusibir promo za XXL kumake money!!

Role model wako Chindo nae yuko kwenye list ya wasanii wa Fiesta Arusha
 
We mgeni eeh?? Chindo man hapigwi huko clouds wala hata wewe unaeza usimjue ila kakomaa kichuga chuga anasimamia misingi, anauza albamu zake mixtapes n.k n.k na yko mbali kuliko huyo msomi wenu aliepanga sinza na kuendesha passo... wenzake chuga wana studio na wanaendesha 4X4

Uliyekuwa unamshangilia Chindo Man nae atakuwepo kwenye show ya Fiesta Arusha
 
chuki, wivu ,ujinga na Mazoea kuwa ukifanya kazi ya sanaa unatakiwa usiwe msomi, Nyie mnaodharau kazi yake mlitaka afanye kazi ipi kama kazi anayofanya anaipenda na inamuingizia kipato.
Mbaya zaidi wanao mponda wana vijimshahara vya laki sita kwa mwezi.
 
anabebwa bebwa tu lakin hamna kitu...hajawai niinspire hata siku1 wenyw masters wapo wengi tu wametulia nao,majuzi kati nliona anawauliza wenzake maswali ya wadau JF
Jamaa analazimisha fani vilevile anasafiria nyota ya Joh Makini, hana ubavu wa kusimama yeye mwenyewe.
 
Si aliimba kua hataki kazi.mbona nae anasombwa na fiesta ,hana lolote hakuna mwenye jeur ya kukataa ajira
Wenye hiyo jeuri tuko wengi Lj. mwaka wa5 ss kitaa hustling zinaendelea na hata kajimshipa ka kumlaumu mtukufu kwa kufungia ajira hamna.
 
Back
Top Bottom