TANZIA Msanii na MC Maarufu, Gladness Chiduo 'Zipompa Pompa' amefariki dunia katika hospitali ya Rabinisia jijini Dar es Salaam

Nyoshi ana ngoma hiyo inajulikana. Basi nimepata jibu.
Vifo karibia vyote vya watu maarufu vilivyoripotiwa humu hivi karibuni vimekuwa vikihusishwa na mdudu. Inawezekana kitaa hali sio nzuri.
Halafu watu maarufu vifubazio wanawezaje kuchukua huku wakihakikishiwa confidentiality?
 
Alikuwa chama gani huyu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…