TANZIA Msanii na MC Maarufu, Gladness Chiduo 'Zipompa Pompa' amefariki dunia katika hospitali ya Rabinisia jijini Dar es Salaam

TANZIA Msanii na MC Maarufu, Gladness Chiduo 'Zipompa Pompa' amefariki dunia katika hospitali ya Rabinisia jijini Dar es Salaam

Nyoshi ana ngoma hiyo inajulikana. Basi nimepata jibu.
Vifo karibia vyote vya watu maarufu vilivyoripotiwa humu hivi karibuni vimekuwa vikihusishwa na mdudu. Inawezekana kitaa hali sio nzuri.
Halafu watu maarufu vifubazio wanawezaje kuchukua huku wakihakikishiwa confidentiality?
 
Habari zilizotufikia hivi punde, Msanii na MC Maarufu, Gladness Chiduo 'Zipompa Pompa' amefariki dunia katika hospitali ya Rabinisia jijini Dar es Salaam.

Msiba upo nyumbani kwa Marehemu Ununio.

Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi.

Alikuwa chama gani huyu?
 
Back
Top Bottom