Ali kiba nae nasikia anajenga chuo kikuu cha sayansi na teknolojia ya anga huko kigoma
Jihukumu mwenyewe cheaterKwa hela hizhiz za muziki
Na kile kipini puaniPamoja na kupata mafanikio makubwa kwenye muziki msanii number moja Afrika D. Platnumz Dangote pia amerudisha kwa jamii baada ya kutoa misaada mbalimbali na sasa atawasaidia waathirika wa mafuriko huko Iringa, pia anamalizia kujenga msikiti kwa ajili ya Ibada.
Ni mfano wa kuigwa sana huyu kijana. Wengine wanaishia kuvaa vaa mipete mara ya kijani,nyekundu,bluu sasa sijui wanaabudu majini na mazombi.
View attachment 445640
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wana abudu mazombi daaaaahPamoja na kupata mafanikio makubwa kwenye muziki msanii number moja Afrika D. Platnumz Dangote pia amerudisha kwa jamii baada ya kutoa misaada mbalimbali na sasa atawasaidia waathirika wa mafuriko huko Iringa, pia anamalizia kujenga msikiti kwa ajili ya Ibada.
Ni mfano wa kuigwa sana huyu kijana. Wengine wanaishia kuvaa vaa mipete mara ya kijani,nyekundu,bluu sasa sijui wanaabudu majini na mazombi.
View attachment 445640
Kwa Sababu ni Mwislamu... Kwani Ushasikia Reginald Mengi kajenga MsikitiMbona hajengi kanisa
Sjakupata unasema??[emoji101][emoji101][emoji101]Jihukumu mwenyewe cheater