Msanii namba 1 Afrika kwa sasa, Diamond Platnumz ajenga nyumba ya Ibada (Msikiti)

Msanii namba 1 Afrika kwa sasa, Diamond Platnumz ajenga nyumba ya Ibada (Msikiti)

"INNA LLAHA TWAYYIBUN LA YAQBALU ILLA TWAYYIBA" INA MAANA KUWA "HAKIKA YA ALLAH(MW/MUNGU) NI MZURI HAKUBALI ILA VILIVYO VIZURI". PERIOD. ILA MLANGO WA TOBA UPO AKIACHA AYAFANYAYO NA KUMREJEA MOLA WAKE BASI ATASAMEHEWA KWANI HAKIKA YA MW/MUNGU NI MWINGI WA MSAMAHA KWA WAJA WAKE.
 
Pamoja na kupata mafanikio makubwa kwenye muziki msanii number moja Afrika D. Platnumz Dangote pia amerudisha kwa jamii baada ya kutoa misaada mbalimbali na sasa atawasaidia waathirika wa mafuriko huko Iringa, pia anamalizia kujenga msikiti kwa ajili ya Ibada.

Ni mfano wa kuigwa sana huyu kijana. Wengine wanaishia kuvaa vaa mipete mara ya kijani,nyekundu,bluu sasa sijui wanaabudu majini na mazombi.

View attachment 445640
Na kile kipini puani
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wana abudu mazombi daaaaah
 
Acha kudanganya watu Huyo diamond hayupo hata kumi bora Africa au nikupe orodha ya wasanii matajili afrika?
 
Kidini hivi inaruhusiwa?
Mana mimi najua mziki ni haram na fedha anazojengea ni zao la muziki.
Kama nakosea nirejebishwe.
Wajuvi tujuzeni kama hii ni sahihi?
 
Kwa kweli mimi ni shabiki wa Diamond lakini kusema yeye ajenge msikiti na watu wakaswali kabisa siungi mkono. Anayo yafanya sidhani kama dini ina yaunga mkono.

Ni sawa sawa na jay z ajenge kanisa, au davido ajenge kanisa. Yaan haija kaa poa.
 
Mzazi: binti yangu hiyo tabia ya ukaahaba hainifurahishi hata kidogo.
Binti: Jamani mzazi wangu, chungulia nje nimekununulia Verrosa.
Mzazi: ohh, asante mama, mungu akuzidishie, biashara yako iwe na mafanikio.
Binti(kimoyomoyo): MAMBO YA FWEDHA HAYO BUANAAA.
 
Hili ni jambo la kheri,halipaswi kabisa kubezwa.
Pamoja na madhaifu yake kama binadamu ila kwa hili nampongeza.

Ifikie mahali tuache unafiki,ni nani asiye na dhambi kati yetu?Kuvaa kwake hereni hakumzuii kujenga msikiti, ingekuwa ndio hivyo basi hata swadaka tulio wengi tusingetoa misikitini maana kama ni utimilifu ndio kigezo cha kutoa swadaka hakika hakuna aliye kamili zaidi ya Mtume Muhammad (S.A.W)

Allah akuzidishie kheri Nasib,uzidi kujenga misikiti mingine mingi watu wapate kufanya ibada na kumcha Mola wetu.
 
Back
Top Bottom