Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Wasichana badilikeni jamani, mjiheshimu hata hao wanaume wenu watawaheshimu. Sasa kisa cha huyu bidada kujirecord akiwa faragha sijui ndio akawaringishie wenzie? Haya sasa, yamekupata unaumbuka. Mwenzie hata boksa lake hatujaliona yeye kakazania kuonyesha jichupi lake....mfyuuu, ndio ajifunze sasa.
 
Kiki inataftwa na njia nyingi sana
 
Video walirekodi wao na kuituma mitandaoni wao.
wasitufanye watoto ili ilivuja.
 
Wakati mwingine umaarufu ni gharama sana, apo kinachomuumiza zaidi ni watu watamuonaje /watamchukuliaje dah Mungu amtie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.


NB:Mungu huwarudi anaowapenda kwa namna tofauti tofauti ni wakati wake kubadilika kama kuna mahali hampendezi Mungu, asifokas maneno ya watu mana hata hao watu kuna mahali si wakamilifu pia
 
Sijawachukia kwa walichofanya , maana hata majumbani tunafanya zaidi ya hayo.

Nimewachukia kwa kuipost ili wapate kiki! Wakati sisi tunawachukulia kama vioo vya jamii!
 
Wasanii hawa, akionesha uchi au jinsi anavyoliwa ndiyo thamani yake inapanda

Hakuna fikra kama kuna baba, mama, kaka, mjomba, bibi wanatazama matako yao.
 
Ila mambo mengine ni ya kujitakia, kweli dunia ya Leo ni ya kujirekodi uko faragha na mpenzi wako tena unajijua ni staa? Mimi pamoja na kwamba sio staa huwezi ukanirekodi/kujirekodi tukiwa kwenye mambo hayo, kwanza najirekodi ili nimuonyeshe nani hayo mambo ya 'siri'? Huu ushamba wa smartphone utawacost sana
 
Mwanamke ukishaanza kupost picha na videos za uchi, huwa ni doa la maisha yako yote.

Jambo hili linaweza kukukosesha hata watu maalumu wa faida maishani mwako.
 
Kumbe alishawahi kukoswa koswa kuanikwa bado akarecord tena?
Inaonekana wazi Nandy ndo kavujisha kumkomoa Bill Nas
Alikoswa koswa kuanikwa? Kivipi hebu tupe maelezo

By the way hana wa kumlaumu hiyo video karekodi yeye so
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…